Serikal yarudisha Hadhi ya Mtihan wa Kidato cha II

Serikal yarudisha Hadhi ya Mtihan wa Kidato cha II

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
9,728
Reaction score
1,204
Hatimae serikali imeamua kuupa hadh mtian wa kidato cha pili,ambapo kwa kuanzia mwaka huu watakaofanya mtihan endapo watafel watakariri DARASA,kiwango cha ufaulu ni alama 30.
Sosi:clouds Tv
 
Back
Top Bottom