Hicho ni kitu kisichowezekana kwa sasa!Mkuu ni kweli ndiyo maana na shauri tozo zibaki zilivyo kwa sababu ni za jambo mahususi ila VAT ipunguzwe au iondolwe kabisa kwenye mafuta tu tena wakati yanaingizwa nchini
Tanzania haiwezi kushusha vat kwenye mafuta hata Rais akiwa Tundu Lisu!Naelewa- ila kumbuka kikao cha bajeti kinaanza April
Bei ya mafuta ya petroli na diseal imeshuka tena na kuwa chini ya USD 100 kutoka 130 wiki iliyopita. Wiki iliyopita serikali ilitoa tozo ambalo ni mahususi kwa jambo maalumu. Mimi nadhani serikali ipunguze VAT kwenye mafuta ili kuleta suluhisho la kudumu kuliko hili la kutoa tozo.