White party
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 1,037
- 1,180
Sio kweli hata kidogo kusema serikali ina stock ya walimu wa art, kuna mashule mengi sana hata walimu wa history na kiswahili bado ni tatizo ukiachana na walimu wa english ambao wao tatizo lao inajulikana kwamba ni adimu lakini mtaani wamejaa, hapa niligundua kitu kimoja kinacho fanyika wakuu wa shule na ma afisa elimu wanapo peleka takwimu ya idadi ya walimu waliopo mashuleni hawapeleki idadi halisi.stock ya walimu wa art serikalini ni kubwa mno!
kuna kipindi walikuwa wanahamishwa toka secondary to primary
we kajiajiri tu
Mimi nimeajiriwa kitambo hivyo naongea uhalisia wa hali ilivyo hukuUnajipigia debe. Au unaongea uhalisia..?
Kwani sisi ndo tuliotunga mtaala mkuu?!...kama havina tija nyie watunga mitaala mvifute basi sio kutupa adhabu ya wanafunzi elfu mbili kwa walimu wawili wa "usanii"Serikali inaajiri walimu wa sayansi tu hawa wengine hawana tija kwa nchi. Wewe unasomea historia, siasa, sijui kiswahili nani hajui kuongea kiswahili?
Sijui geografia nani hajui milima, mito nk yaani blabla tupu! kwani ukimfundisha mtoto masomo haya itamsaidia nini kwenye maisha yake? Hebu waafrika tujitambue wenzetu wanawekeza kwenye sayansi nyie manataka ujinga.
Halafu nyie mliosomea arts (kwa kiswahili wanaita USANII) hata akili ya kujiajiri hamna serikali itaajiri nchi nzima maana muko wengi kama mchwa! Nawambia ukweli muache kulialia kila siku enyi wasanii!
Mnajua mnaniudhi sana nyie ndiyo mliosababisha vijana wavute majani ulaya mitaani! sasa mtu kasoma historia atakuwa na ubunifu gani wa kumsaidia!
Unaongea hayo kutoka kijiji gani mkuu?Stock ya walimu wa art serikalini ni kubwa mno!
Kuna kipindi walikuwa wanahamishwa toka secondary to primary
We kajiajiri tu
Hilo ni kweli kabisa mkuu mzigo tulionao kwa sasa ni mzito mno na watu wanabaki na idea za enzi hizo walimu walipokua wanaajiriwa kila mwaka.Sio kweli hata kidogo kusema serikali ina stock ya walimu wa art, kuna mashule mengi sana hata walimu wa history na kiswahili bado ni tatizo ukiachana na walimu wa english ambao wao tatizo lao inajulikana kwamba ni adimu lakini mtaani wamejaa, hapa niligundua kitu kimoja kinacho fanyika wakuu wa shule na ma afisa elimu wanapo peleka takwimu ya idadi ya walimu waliopo mashuleni hawapeleki idadi halisi.
Kuna shule x yenye wanafunzi wapatao elfu mbili na mia tatu na shule nzima ina walimu watatu wa maths lakini ukiangalia kwenye mfumo inaonekana ni shule ambayo walimu wa maths wamejaa katika shule hiyo
Umetoa mawazo yako kijinga kweli.Jina la utotoni unaitwa nani mkuu?Serikali inaajiri walimu wa sayansi tu hawa wengine hawana tija kwa nchi. Wewe unasomea historia, siasa, sijui kiswahili nani hajui kuongea kiswahili?
Sijui geografia nani hajui milima, mito nk yaani blabla tupu! kwani ukimfundisha mtoto masomo haya itamsaidia nini kwenye maisha yake? Hebu waafrika tujitambue wenzetu wanawekeza kwenye sayansi nyie manataka ujinga.
Halafu nyie mliosomea arts (kwa kiswahili wanaita USANII) hata akili ya kujiajiri hamna serikali itaajiri nchi nzima maana muko wengi kama mchwa! Nawambia ukweli muache kulialia kila siku enyi wasanii!
Mnajua mnaniudhi sana nyie ndiyo mliosababisha vijana wavute majani ulaya mitaani! sasa mtu kasoma historia atakuwa na ubunifu gani wa kumsaidia!
NdugaiUmetoa mawazo yako kijinga kweli.Jina la utotoni unaitwa nani mkuu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naanza kuamini.Ndugai
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naanza kuamini.
Ooh..!Lord,have mercy on us!😂😂😂😂😂Anavyorahisisha utadhani katafuna viwavi jeshi.
Unaongea hayo kutoka kijiji gani mkuu?
Weee acha uongo. Walimu wa masomo ya sanaa wanakula Bata.Mimi nimeajiriwa kitambo hivyo naongea uhalisia wa hali ilivyo huku
Wacha bwana wee. Mbona kuna walimu wa sanaa walikuwako mwaka jana majina yalivyotoka.Hilo ni kweli kabisa mkuu mzigo tulionao kwa sasa ni mzito mno na watu wanabaki na idea za enzi hizo walimu walipokua wanaajiriwa kila mwaka.
Tangu 2017 walimu wa art hawajaajirwa je walimu hawafi?hawastaafu?hawaachi kazi?
Walipelekwa primary baada ya uhakiki mwaka 2017na tangu hapo hawajaajirwa tena,sasa piga hesabu ndogo tu tangu 2017 hadi leo waliobaki wapo tu? Au hata kama wapo si kila siku mnasikia wanafunzi wanaongezeka kutokana na elimu bure? Wewe unaweza kusahisha daftari 600 peke yako kila siku? Au tujuzane hilo bata wenzetu mnakula mkiwa wapi?Weee acha uongo. Walimu wa masomo ya sanaa wanakula Bata.
Yaani mwalimu wa sayansi anafundisha at least one class. Ila walimu wa sanaa wabagawana stream. Huko kuzidiwa kunatokea aje. Au walimu wa sanaa wameacha kazi kwa wingi?
Yani, eti "kwani kuna shida..."Ooh..!Lord,have mercy on us!😂😂😂😂😂Anavyorahisisha utadhani katafuna viwavi jeshi.