MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,606
- 4,914
Okay, Kuna watu wanataka ku-prove kuhusu hizo taarifa za umri wa Miss wetu fuata hizi steps, ni simple ingia https://i94.cbp.dhs.gov/, then chini chagua I agree, bofya proceed halafu ikifunguka jaza majina ya Miss wetu wa nguvu, weka passport number yake, chagua Tanzania then get travel history, utapata details zake.
Sisi Watanzania tunachotaka ni kuonyesha umma wa Tanzania wenzetu kua kuna watu wachache wanajaribu kupindisha ukweli kua mrembo huyu kadanganya umri kwa sababu anazojua yeye, sasa tunaomba taasisi husika zichukue hatua stahiki ili iwe fundisho kwa watakaofuata.
Neno letu kwa wadhamini Redds kueni na msimamo na msiharibu image yenu nzuri ya product yenu mlioijenga kwa gharama kubwa ili heshima yenu iendelee kuwepo mbele ya jamii, la sivyo tutawaona na nyie mmeshiriki kwa kuandaa na kukubaliana na taarifa za uongo ili kuwahadaa Watanzania wazalendo wenye moyo wa upendo na amani.
Na nyie RITA, inashangaza sana taasisi kubwa na nyeti ya serikali inatoa vyeti bila kufuata taratibu za kisheria zilizowekwa. Tujiulize hivi kuna wakina Sitti wangapi wamepata vyeti vya kuzaliwa vya mipango? Sitti amefoji cheti ili awadanganye Kamati ya Miss Tanzania, Na je hao wengine waliolipa hivyo vyeti unajua lengo Lao?
Mpaka hapa serikali kupitia BASATA mnahitaji ushahidi gani mwingine ili muamini huyo Miss katengenezwa na Lundenga? tunaomba Serikali kupitia wizara yake ya Michezo na Utamaduni,BASATA amkeni onyesheni uhai.
Hizi ni salamu zangu
#bringbackourcrown