road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Nimesoma mahali, serikali ina mpango wa kutoa viwanja vya ujenzi wa nyumba binafsi kwa askari polisi ili wasifedheheke pindi wanapostaafu.
Rai yangu ni kwamba hili liende kwa watumishi wote isiwe kwa polisi tu.
Hainiingi akili kuwa askari anaelipwa mshahara, posho ya shiling 300,000/, pesa ya pombe 100,000/ posho ya nyumba, halipi nauli ya daladala. Ashindwe kujipanga mpaka afedheheke kwa kushindwa kujijenga.
Hii ni aibu kubwa sana achilia mbali mikopo wanayoipata kutoka taasisi mbali mbali za fedha achilia Sakosi yao URA.
Huu upendeleo utakatisha watumishi wengine tamaa na kushusha utendaji kiukweli! Kuna watumishi wa Serikali hii hawana posho ya aina yoyote. Yaani ni mshahara tu!
Kwaniin na wao wasingaliwe? Walimu wana posho gani? Mbali ya kukosa posho hata mshahara yao yaijawahi kupanda tangu waajiriwe 2014. Mbona manesi hali ni ngumu hivyo hivyo?
Huu upendele unaweza shusha hali ya utendaji kazi kwa sekta nyingine. Kama ni fedheha kika MTU (mtumishi) inamkuta