AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Akili Kizibo akili kubwa miaka 60 maji ya shida na umezungukwa na vyanzo vya maji kwa zaidi ya miaka 60 km sio ukiazi mviringo ni nini?UKIONA CHAMA KIMETAWALA NCHI MIAKA 60 UJUE KINA WATU WENYE AKILI KUBWA
MTU YEYOTE ANAKUKATAWALA UJUE KAKUZIDI AKILI
Mabavu, sio akili.UKIONA CHAMA KIMETAWALA NCHI MIAKA 60 UJUE KINA WATU WENYE AKILI KUBWA
MTU YEYOTE ANAKUKATAWALA UJUE KAKUZIDI AKILI
Akili Kizibo akili kubwa miaka 60 maji ya shida na umezungukwa na vyanzo vya maji kwa zaidi ya miaka 60 km sio ukiazi mviringo ni nini?
Mabavu, sio akili.
Eti shule na hospital za kisasa kama zipi? Mbona wakiugua tezi dume na figo wanakimbilia Ulaya na India.Hizo shule mbona watoto wanasoma private.
Umesema Miaka 60 ya nini utawala wa Mkoloni Mweusi au?HIYO CODE NIMEKUPA HAPO USE IT WISELY
UNGEKUWA NA AKILI KUBWA , YOU COULD JOIN US , TOFAUTI NA HAPO WATCH US WE WIN
Mara ya mwisho umefika hospital lini?HIYO NI FREE ECONOMY. UCHUMI HURU .
IF YOU CAN AFFORD PRIVATE UNARUHUSIWA KULIPIA SIMPLE LIKE THAT.
Umesema Miaka 60 ya nini utawala wa Mkoloni Mweusi au?
It’s all a function of time!UNAFIKIRI MABAVU PEKEE UNAWEZA KUMTAWALA MTU OVER 60 YRS ?
INGEKUWA HIVYO WATU WANGEKUWA HAWAPOTEZI DOLA
It’s all a function of time!
Siku zake sasa zinahesabika. Mark my words!Inahitaji kulijua hili mapema kuwa Ccm is there and not by chance Ila kwa kutumia akili kubwa Sana
Hizi propaganda za kutumia mabavu wanaziongea watu waliokosa mikakati
Miradi ya maendeleo ya inji
Yaani wewe kaka hujui Alafu hujui Kama haujuiSerikali baada ya kukusanya kodi zetu haitoi ufafanuzi sahihi mfano huu mwaka serikali imekusanya takriban trilioni 8.7 za kitanzania Lakini hatuambiwi mgawanyiko wa hizi fedha maana ni fedha zetu wananchi.