Serikali chukueni hatua za dharura na haraka dhidi ya Kiboko ya Wachawi kinachoendelea hapa buza mtalaumiwa

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
Serikali Kiboko ya Wachawi anahamisha masanduku yasiyojulikani kuna nini ndani yake yanapitishwa porini na waumini wake yeye amekaa mahali hapo porini kuzipokea. Kuna nini? Kwa nini mtu huyu bado ana pasipoti?

Rais Samia utaingia kwenye mgogoro. Toa agizo huyu mtu akae ndani hadi baada ya uchunguzi dhidi yake. Mtagundua makubwa zaidi ya yanayojulikana. Tumechoka kesama. Tutarejea haya kama hatukusema.
 
Poli gani kule korongoni kwenye mto ?

USSR
 
Serikali Kiboko ya Wachawi anahamisha masanduku yasiyojulikani kuna nini ndani yake yanapitishwa porini na waumini wake yeye amekaa mahali hapo porini kuzipokea. Kuna nini? Kwa nini mtu huyu bado ana pasipoti?

Rais Samia utaingia kwenye mgogoro. Toa agizo huyu mtu akae ndani hadi baada ya uchunguzi dhidi yake. Mtagundua makubwa zaidi ya yanayojulikana. Tumechoka kesama. Tutarejea haya kama hatukusema.
Bila picha huo ni umbeya tu
 
Wakenya yaliwakuta, Uganda kibwetele nae alipitanao...!
 
Sasa masanduku tuu unaogopa njoo huku mbugani kuna mijisanduku inaingizwa kwenye ndege man.....
 
Kama namuona mwarabu fighter tumbo wazi akibebeshwa misanduku mikubwa mikubwa huku kiboko ya wachawi akiwakashifu changamkeni nawalipa pesa nyingi nyie shenzi
 
Back
Top Bottom