DOKEZO Serikali chunguzeni hili kuhusu Taasisi za dini kuongoza utakatishaji wa fedha

DOKEZO Serikali chunguzeni hili kuhusu Taasisi za dini kuongoza utakatishaji wa fedha

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Unaweza kuongea leo ukapuuziwa ila ni mbinu zinazotumiwa na taasisi za dini na ili kupitia makanisa wengi wamepatia mwanywa kutakatishia pesa zao.

Kwenye kutakatisha fedha kuna njia nyingi, ndio maana Kenya wameliona hili jambo.

Mtu anafungua kanisa ila utashangaa sadaka inayotoka na kuingia benki.

Taasisi za dini nazo zinafanya hivi kwa njia ya misaada.
 
Mbona hilo ni la muda mrefu na makanisa mengi hasa haya ya manabii ndio chaka za kutakatisha pesa halamu.

hapa bongo usalama wetu wapo kwaajili ya wanasiasa sio economic intelligence kabisa!
 
Vipi hapa, lema hajapaona achome kichaka hicho?
 
Back
Top Bottom