Serikali chunguzeni kwa umakini kifo cha Solomon Mwalabhila

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Mmiliki wa kampuni ya mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabhila amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea Mlandizi mkoani Pwani. Akizungumza na kwa njia ya simu na Mwananchi Digital Agosti 4, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema Mwalabhila amefariki leo baada ya gari lake kugongwa kwa nyuma na lori la mchanga.

"Ndiyo hilo tukio limetokea saa 12:30 asubuhi maeneo ya Mlandizi alikuwa anatoka Dar es Salaam kuelekea mikoani gari lake likagongwa na lori la mchanga kwa nyuma na akapoteza maisha papohapo," amesema. Marehemu alikuwa mfanyabiashara na mwekezaji wa ndani katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya akiajiri vijana katika sehemu ikiwamo kwenye magari na migodini.
1722944571022.png

Halmashauri ya Wilaya ya Chunya imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha mwekezaji maarufu na mzaliwa wa wilaya hiyo, Solomon Mwalavila 'Sauli', aliyefariki dunia kwa ajali ya gari. Mwalavila, ambaye alikuwa mmiliki wa mabasi ya Sauli yanayosafirisha abiria mikoani, amefariki dunia Jumapili, Agosti 4, 2024 baada ya gari lake kugongwa kwa nyuma na lori la mchanga eneo la Mlandizi, mkoani Pwani. Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Tamimu Kambona, amesema kifo cha Mwalavila ni pigo kubwa kutokana na mchango wake katika uwekezaji na maendeleo ya Chunya.

Kwanza kabsa tunaelewa ukali na ugumu wa kuendesha biashara hizi za usafirishaji wa abiria, sio shughuli ya kitoto, kuna kila hira za namna zote, watu watakushughulikia kwa kila njia, politically, physically, emotionally, socially, traditionally na kila njia ambayo inafaaa na endapo tu ukiwa dhaifu basi wanakutoa kwenye njia AKA reli. Binafsi ni mmoja wa watu ambao sitaki kuamini kuwa kifo cha Solomon Mwalabhila ilikuwa bahati mabaya.

Wengine mnaweza kusema kuwa mimi ni mchochezi ila sio jambo ambalo ni la kawaida kwa sababu nyingi ambazo mtu ukitafakari tu unaona hii kitu haijakaaa vizuri kuanzia ripoti na hata tukio lenyewe.

1. Gari alilokuwa anaendesha marehemu Solomon Mwalabhila, ni Jeep Wrangler uzito wake ni sawa na 1800.762 mpaka 2041.16566, na gari FUSO kwa namba T213DQD ingawa hakuna picha cha Fuso lenye zaidi ya kuonekana kwa gari aina ya Jeep Wrangler ambalo ndo alikuwa akiendesha Marehemu. Nitakurudisha nyuma kidogo kwenye tukio la kifo cha Brian Chira wa Kenya, ukitazama picha zake sio kweli kwamba Brian Chira alikanyagwa barabarani ila ukitazama kwa makini mwili wake ni kama so ajali bali ni makusudi. Solomon Mwalabhila alikuwa amepaki gari lake na fuso likamgonga nyuma? na gari likasagika namna hii? Na dereva kakimbia? Na fuso picha zake hazionekani?
1722941994533.png

2. Huyo dereva Ramadhani Mkusa anaweza kuwa amehusika au hajahusika kwa sababu moja, Hitilafu ya kiufundi ndani ya magari ni jambo la ambalo limekuwa kisingizo kikubwa cha watu haswa inapotokea ajali. Tanzania kama nchi zingine huwa hatuna utaratibu wa kupeleka magari kutazama kwa umakini kwa mafundi (watalaamu). Dereva anaweza kuwa kwenye hatia kwa sababu ameua bila kukusudia kwa kuwa gari lake limepata hitilafu ya kiufundi. Ila pia Dereva anaweza kuwa hatiani kwa sabababu anaweza kuhusika sio moja kwa moja. Hapo vyombo vya usalama view makini sana kwenye kuchunguza hili jambo, wachunguze Ramadhani Mkusa kwa undani, wahusisheni mamlaka za vitambulisho ya NIDA wafahamu taarifa zake, amewasiliana na nani, miamala iliyofanywa ndani ya mwezi mmoja, watazame utofauti wa miamala mikubwa na midogo ambayo Ramadhani Mkusa huwa anapokea. Kunaweza kuwa na chain kubwa sana ya watu waliokuwa wanatamani kumtoa Solomon Mwalabhila kwenye biashara.
1722944330064.png

Serikali mkiona kifo cha Solomon Mwalabhila ni jambo jepesi basi tazameni ni kiasi gani Mbeya inakwenda kupoteza kwenye mapato yake kuanzia kwenye halmashauri ya Wilaya ya Chunya. Msichukulie poa kabsa suala hili hata kidogo. Mabasi ya Sauli ndio yanakwenda kupoteza muelekeo kabsa na biashara kufa moja kwa moja. Ukitaka kufahamu vita iliyopo kwa wamiliki wa mabasi basi waulizeni hata makonda na wafanyakazi wa kampuni za mabasi. Pumzika kwa amani Solomon Mwalabhila.

Soma: TANZIA - Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia
 
Mmiliki wa kampuni ya mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabhila amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea Mlandizi mkoani Pwani. Akizungumza na kwa njia ya simu na Mwananchi Digital Agosti 4, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema Mwalabhila amefariki leo baada ya gari lake kugongwa kwa nyuma na lori la mchanga.

"Ndiyo hilo tukio limetokea saa 12:30 asubuhi maeneo ya Mlandizi alikuwa anatoka Dar es Salaam kuelekea mikoani gari lake likagongwa na lori la mchanga kwa nyuma na akapoteza maisha papohapo," amesema. Marehemu alikuwa mfanyabiashara na mwekezaji wa ndani katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya akiajiri vijana katika sehemu ikiwamo kwenye magari na migodini.

View attachment 3062932

Halmashauri ya Wilaya ya Chunya imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha mwekezaji maarufu na mzaliwa wa wilaya hiyo, Solomon Mwalavila 'Sauli', aliyefariki dunia kwa ajali ya gari. Mwalavila, ambaye alikuwa mmiliki wa mabasi ya Sauli yanayosafirisha abiria mikoani, amefariki dunia Jumapili, Agosti 4, 2024 baada ya gari lake kugongwa kwa nyuma na lori la mchanga eneo la Mlandizi, mkoani Pwani. Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Tamimu Kambona, amesema kifo cha Mwalavila ni pigo kubwa kutokana na mchango wake katika uwekezaji na maendeleo ya Chunya.

Kwanza kabsa tunaelewa ukali na ugumu wa kuendesha biashara hizi za usafirishaji wa abiria, sio shughuli ya kitoto, kuna kila hira za namna zote, watu watakushughulikia kwa kila njia, politically, physically, emotionally, socially, traditionally na kila njia ambayo inafaaa na endapo tu ukiwa dhaifu basi wanakutoa kwenye njia AKA reli. Binafsi ni mmoja wa watu ambao sitaki kuamini kuwa kifo cha Solomon Mwalabhila ilikuwa bahati mabaya.

Wengine mnaweza kusema kuwa mimi ni mchochezi ila sio jambo ambalo ni la kawaida kwa sababu nyingi ambazo mtu ukitafakari tu unaona hii kitu haijakaaa vizuri kuanzia ripoti na hata tukio lenyewe.

1. Gari alilokuwa anaendesha marehemu Solomon Mwalabhila, ni Jeep Wrangler uzito wake ni sawa na 1800.762 mpaka 2041.16566, na gari FUSO kwa namba T213DQD ingawa hakuna picha cha Fuso lenye zaidi ya kuonekana kwa gari aina ya Jeep Wrangler ambalo ndo alikuwa akiendesha Marehemu. Nitakurudisha nyuma kidogo kwenye tukio la kifo cha Brian Chira wa Kenya, ukitazama picha zake sio kweli kwamba Brian Chira alikanyagwa barabarani ila ukitazama kwa makini mwili wake ni kama so ajali bali ni makusudi. Solomon Mwalabhila alikuwa amepaki gari lake na fuso likamgonga nyuma? na gari likasagika namna hii? Na dereva kakimbia? Na fuso picha zake hazionekani?

View attachment 3062910

2. Huyo dereva Ramadhani Mkusa anaweza kuwa amehusika au hajahusika kwa sababu moja, Hitilafu ya kiufundi ndani ya magari ni jambo la ambalo limekuwa kisingizo kikubwa cha watu haswa inapotokea ajali. Tanzania kama nchi zingine huwa hatuna utaratibu wa kupeleka magari kutazama kwa umakini kwa mafundi (watalaamu). Dereva anaweza kuwa kwenye hatia kwa sababu ameua bila kukusudia kwa kuwa gari lake limepata hitilafu ya kiufundi. Ila pia Dereva anaweza kuwa hatiani kwa sabababu anaweza kuhusika sio moja kwa moja. Hapo vyombo vya usalama view makini sana kwenye kuchunguza hili jambo, wachunguze Ramadhani Mkusa kwa undani, wahusisheni mamlaka za vitambulisho ya NIDA wafahamu taarifa zake, amewasiliana na nani, miamala iliyofanywa ndani ya mwezi mmoja, watazame utofauti wa miamala mikubwa na midogo ambayo Ramadhani Mkusa huwa anapokea. Kunaweza kuwa na chain kubwa sana ya watu waliokuwa wanatamani kumtoa Solomon Mwalabhila kwenye biashara.

View attachment 3062931

Serikali mkiona kifo cha Solomon Mwalabhila ni jambo jepesi basi tazameni ni kiasi gani Mbeya inakwenda kupoteza kwenye mapato yake kuanzia kwenye halmashauri ya Wilaya ya Chunya. Msichukulie poa kabsa suala hili hata kidogo. Mabasi ya Sauli ndio yanakwenda kupoteza muelekeo kabsa na biashara kufa moja kwa moja. Ukitaka kufahamu vita iliyopo kwa wamiliki wa mabasi basi waulizeni hata makonda na wafanyakazi wa kampuni za mabasi. Pumzika kwa amani Solomon Mwalabhila.​
Jengeni kampuni na sio mtu,kama kampuni ni mtu basi biashara ndio imeishia hapo hapo.

Mwisho kama Kuna tashwishwi basi ni vyema ukafikisha shida Kwa vyombo husika.

Poleni sana wafiwa.
 
Kama unapesa kuwekeza kwenye non tangible assets ni muhimu yani kukaa na stress cjui magari yangu leo yataludi salama cjui soko la maharage mwaka huu litakuwaje yani ni full stess weka pesa kwenye bond za serikali, nunua hisa kwenye kampuni zinazo fanya vzr ata kama ni za nje weka fixed deposits kwenye bank zenye riba nzuri watu wafanye kazi kwa ajiri yako. Jenga lodge kwenye miji inayoeleweka kaa nyumbani ule pension ukiwa bado kijana.
 
Mleta mada huna taarifa kabisa yani.
Mbona fuso lililomgonga picha zake zipo nyingi na lenyewe hapo mbele limesagika sagika.
Na kama dereva amekimbia labda aliruka kwenye gari kabla ya tukio kutokea.

Maajabu pekee ni inasemekana kuna mtoto ametoka akiwa mzima.

"Jeep Wrangler uzito wake ni sawa na 1800.762 mpaka 2041.16566" huu uzito ni tani, gramu, lb, kilogramu au nini mbona hamna SI unit.
 
Ebu naomba uniwekee picha nimetafuta sijapata!
Hizo units ni kilograms mkuu
 
Akifa tajiri au mtu mashuhuri ukimwambia
Flani amefariki

Mdau : chanzo cha taarifa

Mdau: Chanzo cha kifo ni nini? Hapo inabidi ufanyike uchunguzi

Akifa fukara
Mdau : Hata hivo kateseka sana Mungu amuhurumie
Ndo maisha Mkuu
 
Back
Top Bottom