Serikali chunguzeni mizani ya Himo

Serikali chunguzeni mizani ya Himo

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Ile mizani kila wakikuambia rudia kupima inaongezeka uzito, mfano wakikwambia rudi mara tatu inakuwa na ongezeko tofauti mara zote unazopima!

Hii tabia Hayati Magu alijua na aliwazukia na waliacha mambo haya lakini tangu amefariki mwenda zake we are back to business, amebaki Majaliwa tu nae naona kuna saa anazidiwa wengine wapo kama vivuli tu waziri wa usafirishaji ndio bure kabisa yuko pale kama picha tu hajui kinachoendelea humu barabarani!
 
Back
Top Bottom