SERIKALI (CoET, UDSM): MSIPOLIFANYIA KAZI HILI MAPEMA....

inaumaa sana we are the victimof the system
bila wahandisi imara kweli bongo itaendelea

do politician hear this?
 

Kwa uzoefu wangu kusoma masters kuna umuhimu hasa kwa jinsi tech. invyobadilika kwa kasi. Undergrad unapata sanasana basics za kuweza kufanya kazi kwahiyo na ukiwa field utakuwa unajiongezea ujuzi zaidi kutokana na challenge ambazo utakuwa unazipata ukiwa huko. Lakini ukisoma masters kuna utakuja kugundua undergrad mlikuwa mnagusagusa tu. kwahiyo inategemeana hasa upo wapi. Lakini cha msingi huwezi ukasoma daraja/nyumba etc kwenye makaratasi lazima ili kuelewa na kuwa mwepesi hasa kwa hawa walimu uwe na uwezoefu wa jinsi kazi zinavyofanyika huko site.

Waandisi nao wajue "Good judgement comes from experience, but experience comes from bad judgement" kwa tujifunze kila siku tunapokuwa site.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…