assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Kwa muundo wa katiba mpya ijayo serikali yoyote legelege either iwe ya chadema au ccm au chama chochote hatuwezi kuivumilia kama ccm walivyoprove big failure lakini bado wapo madakani ila baada ya katiba mpya srikali dhaifu isiyowajibika haitaweza kuishi baina yetu