Serikali dhaifu kama hii haitamaliza miaka 5 baada ya katiba mpya

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,905
Reaction score
4,054
Kwa muundo wa katiba mpya ijayo serikali yoyote legelege either iwe ya chadema au ccm au chama chochote hatuwezi kuivumilia kama ccm walivyoprove big failure lakini bado wapo madakani ila baada ya katiba mpya srikali dhaifu isiyowajibika haitaweza kuishi baina yetu
 
Tungependa kuona transparency everywhere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…