Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 731
- 2,707
Kabla huja make conclusion fanya tafiti kwanza ,waweza muita mtu mwehu wakati huenda huyo mwehu ndio akawa na akili timamuView attachment 2677156Huyu mwehu huenda ana watu wanaomlinda serikalini kwa maana haiwezekani amefikia hatua ya kuwakusanya watoto na anawapumbaza mchana kweupe na Mamlaka inamchekea tu.
Kama yule Mzee wa Loliondo - Kikombe cha Babu!INAWEZEKANA AKAWA TISS HUYO, KUPOTEZA WATU MABOYA KUKIWA NA JAMBO MUHIMU LA UPIGAJI
kwa faida ya CCMDaah, hatari, ila..
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
jambo gani ficha huo upumbavu wako. Huyo alikuwa muda mrefu msitake kuunganisha na upumbavu wenu uliowajaa vichwaniINAWEZEKANA AKAWA TISS HUYO, KUPOTEZA WATU MABOYA KUKIWA NA JAMBO MUHIMU LA UPIGAJI
we huwezi kumtofautisha mwehu na mwenye akili? Hivi watu wengine mmelogwa na nani?Kabla huja make conclusion fanya tafiti kwanza ,waweza muita mtu mwehu wakati huenda huyo mwehu ndio akawa na akili timamu
Hii ni hatari...
Zumaridi huenda ana watu wanaomlinda serikalini kwa maana haiwezekani amefikia hatua ya kuwakusanya watoto na anawapumbaza mchana kweupe na Mamlaka inamchekea tu
I guessHawa watoto ni yatima?
Serikali inachekea wengi huyu mmoja wapo na wachochezi wafujo Tz serikali inawakalia kimyaa tu, hapo tu mimi ndio wananikwaza. Kila uhuru kuwe na red line.
Zumaridi huenda ana watu wanaomlinda serikalini kwa maana haiwezekani amefikia hatua ya kuwakusanya watoto na anawapumbaza mchana kweupe na Mamlaka inamchekea tu.
we kichaa au una akili timamu kweli? Hakika hili jukwaa limevamiwa na watu wa ajabu ni muda wa kustaafu kuitumiaDaah, hatari, ila..