Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Watu wamekariri mavitabu yao na kutaka kulazimisha kila mtu aabudu miungu ya kwenye vitabu vyao.Kama unamkataa Zumaridi kuwa sio Mungu.
Basi najua unamjua Mungu halisi.
Achana na vitabu, wewe kwa akili yako unamjua Mungu ?
Kama unamjua tutajie hapa, kama humjui basi Zumaridi kajitambulisha kuwa ndie mungu.
Wewe huna mamlaka ya kumkataa unless otherwise unamjua Mungu halisi.
Nani aliyekataa zumaridi siyo mungu? Hujawahi elewa atheism wanacho claim hujawahi kuelewa kabisa.Kama unamkataa Zumaridi kuwa sio Mungu.
Basi najua unamjua Mungu halisi.
Achana na vitabu, wewe kwa akili yako unamjua Mungu ?
Kama unamjua tutajie hapa, kama humjui basi Zumaridi kajitambulisha kuwa ndie mungu.
Wewe huna mamlaka ya kumkataa unless otherwise unamjua Mungu halisi.
Watu wamekariri mavitabu yao na kutaka kulazimisha kila mtu aabudu miungu ya kwenye vitabu vyao.
Wanakwmabia Zumaridi kichaa, ukuchaa wake ni upi hawasemi.
Mungu kwenye biblia aliruhusu rutu ato.mbe watoto wake na kuwazalisha, akaruhusu wana wa Israel wakivamia mji, wateke wanawake wazuri na kwenda kuwato.mba na kuua wanaume zao. Huyo na zumaridi nani kichaa?
Kwenye quran ndio balaa, mungu wa huko anaruhusu watu kubaka watoto, kubaka wanawake, kupiga wanawake, kuua watu hovyo, huyu ndio kichaa balaa.
Zumaridi ni Mungu.
Sioni kosa la mungu Zumaridi., labda wewe unakereka kwa sababu una mungu wako pia. Miungu iko mingi sana duniani. Iko zaidi ya elfu 5 na Zumaridi ni mmoja wapo.
Zumaridi huenda ana watu wanaomlinda serikalini kwa maana haiwezekani amefikia hatua ya kuwakusanya watoto na anawapumbaza mchana kweupe na Mamlaka inamchekea tu.
Zumaridi huenda ana watu wanaomlinda serikalini kwa maana haiwezekani amefikia hatua ya kuwakusanya watoto na anawapumbaza mchana kweupe na Mamlaka inamchekea tu.
Kwani unataka serikali ifanye nini hapo?
Zumaridi huenda ana watu wanaomlinda serikalini kwa maana haiwezekani amefikia hatua ya kuwakusanya watoto na anawapumbaza mchana kweupe na Mamlaka inamchekea tu.
Broda mbona mkimkamata kibaka mnamalizana nae. Acheni kulialia kila kitu bana hakuna mjomba wa kuja kusaidia mengine mnamaliza wenyewe.
Zumaridi huenda ana watu wanaomlinda serikalini kwa maana haiwezekani amefikia hatua ya kuwakusanya watoto na anawapumbaza mchana kweupe na Mamlaka inamchekea tu.
Zumaridi hajaingilia uhuru wa mtu, wala hajakashfu dini ya mtu.Serikali inachekea wengi huyu mmoja wapo na wachochezi wafujo Tz serikali inawakalia kimyaa tu, hapo tu mimi ndio wananikwaza. Kila uhuru kuwe na red line.
Mbona kila siku watoto wanaharibiwa fikra huko makanisani kuwa eti mtu aitwaye Yesu ndio MunguAisee, hao walimu wahojiwe kwa kuruhusu watoto waharibiwe fikra.
Atheism hawatakuwa na shida na huyo Zumaridi,Kwanza huenda ukawa huelewi atheism wanacho claim tafuta post ya mtu yoyote anayesema tunapinga uwepo wa mungu sababu hatumuoni kwa macho. Ukiona ilete.
Nishamuona mungu beyonce sifa zake na haziji contradict na uwepo wake.
Mungu zumaridi kaongea yeye ni mungu pasi na kutupa vigezo kwanini yeye anajiita mungu.
Mungu wa vitabu vya dini ni mungu wakutungwa sababu sifa zake zinajicontadict zenyewe.
Elewa atheism ni nini na wanapinga nini
Atheism hawatakuwa na shida na huyo Zumaridi,
Kwasababu Mungu Zumaridi yupo, ispokuwa hawawezi kumuamini uwezo wake mpaka athibitishe.
Shida kubwa ya atheism ni huyu Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote ambae anadaiwa kaumba mbingu na ardhi.
Uhuru wa mtu ni upi hebu nipe definition ya uhuru wa mtu???Zumaridi hajaingilia uhuru wa mtu, wala hajakashfu dini ya mtu.
Kwanini unamjumuisha kwenye list ya wachochezi!?
Bora Zumaridi ambae wakimuamini watakuwa wamethibitisha wanachoambiwa, hao miungu walioko somewhere kwenye mawingu hapana kwa kweli.Mbona kila siku watoto wanaharibiwa fikra huko makanisani kuwa eti mtu aitwaye Yesu ndio Mungu
Wewe uliposema uhuru uwe na red line ulimaanisha nini!?Uhuru wa mtu ni upi hebu nipe definition ya uhuru wa mtu???
Sioni kosa la mungu Zumaridi., labda wewe unakereka kwa sababu una mungu wako pia. Miungu iko mingi sana duniani. Iko zaidi ya elfu 5 na Zumaridi ni mmoja wapo.
Cha muhimu amini mungu wako wewe ndiye wa kweli na wengine wote wa uongo.
Kwa hao watoto kama amewalazimisha ni kosa ila kama anawahubiria au wameenda wenyewe hamna kosa hiyo ni sawa tu na dini za kuja zinavyotafuta wafuasi mitaani
Yaani hizi hoja za DP lazima zijibiwe... Naona wamekosa hoja wanatuleta kina Steve kujibu hoja teh teh.. Hivi walioko kwenye uongozi wanadhani watatu toa kwenye mada tujali utopolo wa Steve... Si tutaenda mahakamani hadi vifungu vieleweke.. Na ilibidi mtaani spika na wote wanahusika watoke madarakani... Msitubore hapa...Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli bro .....ila Mungu wa kweli ni Allah tu.Bora Zumaridi ambae wakimuamini watakuwa wamethibitisha wanachoambiwa, hao miungu walioko somewhere kwenye mawingu hapana kwa kweli.
Kama Zumaridi kajionesha mwenyew na anajihubiri, kwanini huyo wa kwenye mawingu hafanyi hivyo katungiwa vitabu tu na anatuma watu?
Usiingilie. Waache wangese wafanye wanavyotaka.
Zumaridi huenda ana watu wanaomlinda serikalini kwa maana haiwezekani amefikia hatua ya kuwakusanya watoto na anawapumbaza mchana kweupe na Mamlaka inamchekea tu.
.Wazazi wao watakuwa Wafuasi WA ZumaridiHawa watoto ni yatima?