Serikali endeleeni kumchekea Zumaridi mpaka atakapoleta madhara

Yeye ni mu gu kwa mujibu wa yeye mwenyewe. Yesu ni mungu kwa mujibu wa yeye mwenyewe.
Hakuna sheria ya kumkataza Zumaridi kujiita mungu.
Acheni waafrika nao wafanye waliofanya warabu,wahindi na waislael.
Ujinga wowote wa mtu nje ya hisia zake ni werevu ndani yake.
 
Kila mtu ahifadhi huu ujumbe, awakumbushe wengine pia
 
Mbona kila siku watoto wanaharibiwa fikra huko makanisani kuwa eti mtu aitwaye Yesu ndio Mungu
Huko misikitini wanaambiwa kuna zawadi ya mabikra 72 ukijilipua kwa minajili ya kupigania dini ya mtume, bila shaka huku ni kuharibiwa fikra kwa kiwango cha juu kabisa.
 
Huko misikitini wanaambiwa kuna zawadi ya mabikra 72 ukijilipua kwa minajili ya kupigania dini ya mtume, bila shaka huku ni kuharibiwa fikra kwa kiwango cha juu kabisa.
Hakuna msikiti unafundisha haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…