Serikali funga kampuni ya tigo

Tigo kwanza huko mtaani ni tusi zito!! lol, usilogwe kupata dili la kuanzia milion moja tu ukatoa business card yenye namba ya tigo ujue dili imekufa, au kwenye maombi ya kazi makampuni makubwa unaacha contact zako za tigo ujue wameshakuona haupo serious hauitwi ng'oo
 
Inaudhi kuita mawazo ya mtu mwingine ukenge wakati ya kwako yaweza kuwa ukenge zaidi!!!!
 
sure,mtoa mada hapasw kudharauliwa au kubezwa,anaongea kama mteja wa tiGO wa sasa
Yamkini wanaomshambulia ndio marketing officers wa hiyo kampuni?tujikite kwenye hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…