johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tanesco inatoa Huduma haifanyi biashara!TANESCO, TTCL, NMB nk hawafanyi biashara?!
Ooh, sikulifahamu hilo.Tanesco inatoa Huduma haifanyi biashara!
Sasa hiki anachodai Magufuli ni nini? Anadai gawio au pesa ya kulazimisha (extortion) ndani ya siku 60 hata kama haipo?Gawio hutolewa baada ya hesabu za kampuni kukaguliwa na wakaguzi kutoa taarifa inayothibitisha kampuni husika imepata faida. Baada ya taarifa hiyo, bodi ya wakurugenzi hukas na kuamua namna faida hiyo itakavyotumika. Wanaweza wakaamua kuongeza mtaji kwa kutumia faida hiyo au kutoa gawio kwa wanahisa kulingana na his a zao
Kwanini itengwe siku maalum na irushwe mubashara??Mimi siyo muhasibu lakini nafahamu kwamba gawio ni sehemu ya mapato yatokanayo katika faida ya biashara. Hivyo ili upate gawio ni lazima pawepo na faida iliyopatikana katika mwaka husika.
Ziada kwa upande mwingine ni ile bakaa inayobakia baada ya kutoa matumizi kwenye mapato ya taasisi zisizo za kibiashara. Ziada inaweza kuwepo hata kama taasisi husika haijatengeneza faida.
Naomba wahasibu na wachumi mkuje hapa mnipinge kitaaluma.
Maendeleo hayana vyama!
Aliekwambia serikali haifanyi biashara nani?Mimi siyo muhasibu lakini nafahamu kwamba gawio ni sehemu ya mapato yatokanayo katika faida ya biashara. Hivyo ili upate gawio ni lazima pawepo na faida iliyopatikana katika mwaka husika.
Ziada kwa upande mwingine ni ile bakaa inayobakia baada ya kutoa matumizi kwenye mapato ya taasisi zisizo za kibiashara. Ziada inaweza kuwepo hata kama taasisi husika haijatengeneza faida.
Naomba wahasibu na wachumi mkuje hapa mnipinge kitaaluma.
Maendeleo hayana vyama!
Yaani wewe jamaa ni zaidi ya takatakaTanesco inatoa Huduma haifanyi biashara!
Kwani hakuna Biashara ya kutoa huduma? Je Makampuni ya Simu hayafanyi Biashara?Tanesco inatoa Huduma haifanyi biashara!
TANESCO, TTCL, NMB nk hawafanyi biashara?!
Bwashee uwe unaelewa.........hapa hatuzungumzii aina ya products!Kwani hakuna Biashara ya kutoa huduma? Je Makampuni ya Simu hayafanyi Biashara?
Tanesco haijawahi pata faida na haiwezi Kwa sasa ,na public utilities ,nmb gawio mbona linatolewa ? Kwa shareholders?hata ppf mfuko was jamii Crdb wanahisa nyingi wanapata gawioTANESCO, TTCL, NMB nk hawafanyi biashara?!