mkadiriaji majenzi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 260
- 569
Ukiweka picha inawaamsha watu usingiziniHabari wana Jamvi.
Ivi hii serikali tuliyonayo ni kwamba haiioni mandela Road.
Saivi kutoka buguruni mpaka Riverside kuna malori matatu yameharibika na kusababisha foleni kubwa.
Wameshindwa kutafuta mbadala wa haya malori kutoka bandarini kweli miaka nenda rudi tunasikia budget yake ishatengwa kumbe ni fix tu.
Ni hatari sana...Sasa ukitaka kujua adha zaidi fanya safari to Morogoro then Mbeya ukiwa na utii bila shuruti... utaelewa ukubwa tatizo hilo...