Inawezekana yanayosemwa ni kweli kuhusu serikali kukosa hela. Kila dalili zipo, kwa mfano Wakuu wa mikoa na wilaya bado kuteuliwa, Nafasi za kazi zilizotangazwa miezi kama 6 iliyopita bado kuitwa kwa usaili (interview)
Nijuavyo mi ni kuwa ,tofauti na ualimu na udaktari,hamna ajira mpya itakayotolewa,na wakitoa ni gheresha hamna kuajiriwa mwaka huu. Ni habari kutoka ktk siri za wizara mojawapo ya nchi.