Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hi
Kuna vitu ambavyo vipo na vilnaganyika lakini pia vilikuwepo na vikafanyika isipokuwa kwasasa ni kuboresha
Maana yangu ni hii kuwa serikali inatakiwa kufumbua miradi mipya ambayo haipo na inatija Kwa taifa na wananchi.
Leo serikali inapokuja au mwanasiasa anapokuja kusema kuwa nimejenga barabara nimeleta umeme na maji hii ni miradi endelevu ambapo Kila kiongozi anafanya Kwa kiasi chake.
Tunategemea mwanasiasa au serikali ije iseme tumefumbua Mradi uhuu ambao unatija au unaenda maliza tatizo Fulani na sio kuunda miradi mingi ambayo haimalizi changamoto.