Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ila tunachotaka ni invitation and creativity na sio Yale ambayo ni yalazima Kwa serikaliSerikali inaongozwa na wanasiasa. Ili waendelee kuwa madarakani lazima wajisifu walichofanya. Tuwe na reasoning.....huwezi mwambia jogoo aache kuwika!
Kama ni mwanasiasa pinzani ukiona hilo limefanikishwa ibua changamoto nyingine...
Iyo pia inawezekana ila kama kutakawa na mkataba mzuriKuna kitu ulikua unataka kuzungumza, barabara zinaweza kujengwa na private sector tukawa tunalipa road tolls
Uko smart... ahsante sana kwa comment yakoSerikali inaongozwa na wanasiasa. Ili waendelee kuwa madarakani lazima wajisifu walichofanya. Tuwe na reasoning.....huwezi mwambia jogoo aache kuwika!
Kama ni mwanasiasa pinzani ukiona hilo limefanikishwa ibua changamoto nyingine...
unachanganya mambo au uelewa na ufahamu juu ya masuala haya sio wa kutosha sana.......Hi
Kuna vitu ambavyo vipo na vilnaganyika lakini pia vilikuwepo na vikafanyika isipokuwa kwasasa ni kubores....