Serikali haiwezi kujali watu wasiojijali

Serikali haiwezi kujali watu wasiojijali

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Kwema Wakuu!

Hakuna serikali yoyote Duniani au popote Katika Anga za mbali, au hata kuzimu yenye uwezo wa kujali watu wasiojijali.

Watu wasiojijali dawa Yao ni mkong'oto. Kipondo, Hali ngumu, kuwaswaga na kuwakarangiza.

Mimi sioni tatizo katika Jambo hilo Kwa kweli.

Unaweza jitahidi kuwaonea huruma watu wasiojijali lakini ukawa Kama Mpumbavu tuu.

Inasikitisha sana, Acha vitu viwe vigumu ili vile laini vibadilike.

Nilikuwa nasemaje, Acha mambo yabaki Kama yalivyo.

Ndivyo Taikon anavyoimaliza Mwezi March na kuikaribisha April.
 
Hao wasiojijari na hao wanaotakiwa kutoa mkongoto na kuwatwanga hao wasiojijari,walitoka wapi?walifikaje hapo walipo?
 
Back
Top Bottom