Serikali hebu kuweni makini na huduma zenu

Serikali hebu kuweni makini na huduma zenu

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Kweli tutamkumbuka mwendazake, inafika sehemu eti kuprint tu control number inakuwa issue!

Yaani watu tunapanga foleni na kusubiri na hatuipati bado hela tunatoa sisi za kwetu, unaenda kwenye website unaambiwa this website is Suspended kweli ofisi ya Umma inaendeshwa kwa kodi zetu

Tuoneeni huruma na maboss halafu wengine mna PhD kabisa lakini eeeh!
 
Kwenye swala la control no. Hii nchi Bado sana yaani ni kero kubwa sana,na ina tesa sana kwa kweli
 
Kweli tutamkumbuka mwenda zake , inafika sehemu eti kuprint tu control number inakua issue ? Yaani watu tunapanga foleni na kusubiri na hatuipati bado hela tunatoa sisi za kwetu , unaenda kwenye website unaambiwa this website is Suspended kweli ofisi ya Umma , inaendeshwa kwa kodi zetu !! Tuoneeni huruma na maboss halafu wengine mna PhD kabisa lakini eeeh
We're now back to business as usual!!!!!!
 
Kwenye swala la control no. Hii nchi Bado sana yaani ni kero kubwa sana,na ina tesa sana kwa kweli
Sanaaa sasa unasema uingie kwenye website uchukue namba za mawasiliano upate msaada zaidi unakuta iko suspended hii ni taasisi ya umma kabisa inayoendeshwa kwa kodi zetu wananchi !!
 
nchi hii ngumu sana, pengine ugumu huo utaondoka marehemu ccm akizikwa rasmi
 
Unashangaa control number? Vipi waliosaini mamilioni ya posho wizara ya fedha, hata kabla ya kuzikwa Mwendazake?
Maana walijua kichwa ngumu hayupo tena.
 
JPM alitusaidia sana katika hilo.
Sasa mambo yanakwenda ovyo ovyo kana kwamba hakuna dereva.
 
Sanaaa sasa unasema uingie kwenye website uchukue namba za mawasiliano upate msaada zaidi unakuta iko suspended hii ni taasisi ya umma kabisa inayoendeshwa kwa kodi zetu wananchi !!
Halafu hapo hapo eti wana ma IT wamewaajili
 
Back
Top Bottom