We're now back to business as usual!!!!!!Kweli tutamkumbuka mwenda zake , inafika sehemu eti kuprint tu control number inakua issue ? Yaani watu tunapanga foleni na kusubiri na hatuipati bado hela tunatoa sisi za kwetu , unaenda kwenye website unaambiwa this website is Suspended kweli ofisi ya Umma , inaendeshwa kwa kodi zetu !! Tuoneeni huruma na maboss halafu wengine mna PhD kabisa lakini eeeh
Sanaaa sasa unasema uingie kwenye website uchukue namba za mawasiliano upate msaada zaidi unakuta iko suspended hii ni taasisi ya umma kabisa inayoendeshwa kwa kodi zetu wananchi !!Kwenye swala la control no. Hii nchi Bado sana yaani ni kero kubwa sana,na ina tesa sana kwa kweli
Tatizo la mtandao TRA kupata namba ya kulipia lipo miaka yote.Nidhamu hakuna kwenye ofisi nyingi za umma ... tuseme tu ukweli MAGUFULI kuna mambo aliyanyoosha
Halafu hapo hapo eti wana ma IT wamewaajiliSanaaa sasa unasema uingie kwenye website uchukue namba za mawasiliano upate msaada zaidi unakuta iko suspended hii ni taasisi ya umma kabisa inayoendeshwa kwa kodi zetu wananchi !!