SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,252
Bado haikuondoi kuwa wewe ni mpuuzi na limbukeni...sasa badala ya kuattack hoja unajipendekeza kuwa Unajua wakati ukweli ni kuwa wewe Unapotosha.Hujaelewa na hujui ulichokiandika. Ulichokifanya Ni kuleta hisia zako na kuendelea kuifananisha Tanzania na nchi nyingine wakati Ni level tofauti!
Huo mtazamo hapo juu ndio upotoshaji wenyewe.Nchi za wenzetu mathalani US viwango vyao vya uadilifu havitilii Shaka Kama vya nchi zinazoendelea.
Nitarudia, tena kwaavile unadai sijui...basi weka huo uthibitisho uondoe uwalakin uliopo. Ni hivi======== niwekee Jasusi yeyote yule aliyewahi fanya kazi kati ya taasisi hizo za nje, na kuvunja sheria akiwa kazini na akafunguliwa mashitaka ya jinai aweke hapa. TUSIDANGANYANE na uharakati uchwara.==============Isitoshe uweke hiko kipengele kinachodai hayo!Askari yoyote au afisa usalama anapofanya makosa hasa ya kijinai lazima akumbane na mkono wa sheria
Unataka kumdanganya nani hapa?? Ati sheria zao hazilindi viongozi wao! BS. Ufungaji wao wa Sheri sio wa kulinda viongozi Bali kulinda nchi na wananchi wake.
Unapotosha hapo na unaanza kuunga unga....nimeomba huko juu....niwekee hata kesi moja ya Jasusi aliye kazini na akahukumiwa au kushitakiwa na kesi ya jinai au madai....isitoshe weka hiko kipengele unachodai kwenye bluu hapo juu! Zaidi ya hapo ni upotoshaji tu.Muswada huu Ni mahususi kuwalinda watawala na wale wanaofanya kazi chini yao. Kwamba afisa usalama akiua, akiiba akibaka au akifanya tukio lolote asikumbane na mkono wa Sheria iwe za kiraia au za kijeshi wewe unaona sawa.?
Nakubaliana na hayo hapo kuhusu watunga sheria, na hiyo ni kweli katika nchi yeyote ile, hata huko mnapopaita 'Kumeendelea'Uzuri Ni kwamba watunga Sheria hizi hudhani kwamba wao watabaki kwenye reign milele, zinapokuja kuwagusa wanakua wakwanza kulia Lia!
Mkuu siyo serikali wanaofanya hivyo. Ni CCM wanafanya hivyoHii nchi wananchi wake ni wajinga na hovyo wa kiwango cha lami inakuaje FBI, CIA na m16 watu wao hawana kinga kabisa ila hili li nchi la kimasikini mnataka kuwawekekea kinga kisa ni .... Kwahiyo wasiojukikana bila shaka wanapewa kinga zaidi wa kufanya uovu wao si ndiyo?
Ila shangaa na wewe wananchi hawajajua chochote kuhusu hii sheria mpya hii nchi ya ajabu sana na itaendelea kuwa masikini milele! Umagufulification.
View attachment 2640506
View attachment 2640511View attachment 2640512
Kasome hii upunguze ujinga:
UN expert calls for prosecution of CIA, US officials for crimes committed during interrogations
A United States Senate report has confirmed what the international community has long believed – that there was a clear policy orchestrated at a high level within the Bush Administration which allowed to commit gross violations of international human rights law, the United Nations Special...news.un.org
Maana yake wamesharuhusiwa kufanya haramu.Na Bado. Mzee wa watu katuongoza vizuri tu. Figusu, lawama, kukatazwa wizi na ufisadi mkakataa na hata kudiriki kumuombea mabaya. Sasa mnalalamika Nini?! Endeleeni kama TBC runinga na radio kumsifia kama nabii na mtume!😂😂😂🤣🤣🤣
Usijaribu kuwatishia raia. Hii nchi siyo ya TISS bali ni ya Watanzania.Bado haikuondoi kuwa wewe ni mpuuzi na limbukeni...sasa badala ya kuattack hoja unajipendekeza kuwa Unajua wakati ukweli ni kuwa wewe Unapotosha.
Huo mtazamo hapo juu ndio upotoshaji wenyewe.
Nitarudia, tena kwaavile unadai sijui...basi weka huo uthibitisho uondoe uwalakin uliopo. Ni hivi======== niwekee Jasusi yeyote yule aliyewahi fanya kazi kati ya taasisi hizo za nje, na kuvunja sheria akiwa kazini na akafunguliwa mashitaka ya jinai aweke hapa. TUSIDANGANYANE na uharakati uchwara.==============Isitoshe uweke hiko kipengele kinachodai hayo!
Unataka kumdanganya nani hapa?? Ati sheria zao hazilindi viongozi wao! BS
Lengo kuu ni Kuhakiksha Usalama wa Maafisa, Utii na kulinda usalama wa Taarifa, wewe na malimvukeni wenzako mnadai na kupotosha ati inaenda kuwalinda Viongozi! B.S
Unapotosha hapo na unaanza kuunga unga....nimeomba huko juu....niwekee hata kesi moja ya Jasusi aliye kazini na akahukumiwa au kushitakiwa na kesi ya jinai au madai....isitoshe weka hiko kipengele unachodai kwenye bluu hapo juu! Zaidi ya hapo ni upotoshaji tu.
Nakubaliana na hayo hapo kuhusu watunga sheria, na hiyo ni kweli katika nchi yeyote ile, hata huko mnapopaita 'Kumeendelea'
Serikali si inaundwa na CCM?Mkuu siyo serikali wanaofanya hivyo. Ni CCM wanafanya hivyo
Toa mwenyewe, nawe fikiri usitake wengine wafikiri kwa niaba yakoToa mfano wa io alternative!!
Huyo mama anaamua kitu gani? She just serves as an icon of the title. Mambo kwa ground ni tofauti sana ukitaka proof its so easy, watu wanafanya wanavyotaka tu and she never shows up.Hapo kuna tatizo...
Hili ni jambo la Samia na kama hakulipenda alikua na uwezo wa kilibadilisha
Mtu anaposema huu ni umagufulification inategemea amesimama ipande upi...
Nijuavyo, muanzilishi wa Magufulification of africa alikua ni Prof Lumumba na maana yake ilikua kuifanya Africa ijikomboe kifikra na ijitegemee kwa kila kitu...
So unaposema mabdiliko ya sheria hii nayo ni magufulification nashindwa kuelewa...
Kwanini tusiseme hili ni la Mheshimiwa Samia?
Au tunahisi yeye hawezi kuamua hayo?
Utashi wake wa kutaka kubadili mikataba ya kinyonyaji and many more.Sasa MAGUFULI alikuwa na wazo gani lakukomboa Africa
well said!Huyo mama anaamua kitu gani? She just serves as an icon of the title. Mambo kwa ground ni tofauti sana ukitaka proof its so easy, watu wanafanya wanavyotaka tu and she never shows up.
Kwamba watu kutobolewa macho uraiani huoni? Unafikiri watu wa aina hio wakiungana nchi nzima ku protest haiwezekani wakawakalisha hao ma askar unaowaona miungu watu? 😀Hua una mawazo kama chizi jamaa yangu...
Umeshawahi kumpindua hata jirani yako kabla hujawaza kupindua nchi?
Kwa mtu aliyeanza kufuatilia siasa kabla ya 2015 anajua huu ni utaratibu wa kawaida huko ccm...Aliposema huu utaratibu ni Magufulification, ana maanisha haya mambo ya kuongeza kunga yalianzishwa na Magufuli na sasa Samia anayaendeleza kwa kupeleka kunga kwa maafisa usalama and who knows, baadaye watakuja mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya wakati hao mdiyo waharifu na maadui wakuu wa nchi, then wamekingwa.
Hapo sheria za uharifu zitakuwa ni za kazi gani tena? Labda wana mpango wa kufuta kabisa sheria ya makosa ya jinai nchini
Aiseeee !!
Lakini mkuu kumbuka hili bunge halina meno wala makali. Niambie kuna mswada wowote rais kaupeleka bungeni haujapi?Hapo kuna tatizo...
Hili ni jambo la Samia na kama hakulipenda alikua na uwezo wa kilibadilisha
Mtu anaposema huu ni umagufulification inategemea amesimama ipande upi...
Nijuavyo, muanzilishi wa Magufulification of africa alikua ni Prof Lumumba na maana yake ilikua kuifanya Africa ijikomboe kifikra na ijitegemee kwa kila kitu...
So unaposema mabdiliko ya sheria hii nayo ni magufulification nashindwa kuelewa...
Kwanini tusiseme hili ni la Mheshimiwa Samia?
Au tunahisi yeye hawezi kuamua hayo?
Wacha Uharakati wako Uchwara hapo. Ati nawatisha Raia...sasa unanitaarifu au unataka kuaminisha Jamvi nini hapo?Usijaribu kuwatishia raia. Hii nchi siyo ya TISS bali ni ya Watanzania.
Nafikiri hayo uyaelekeze kwa "Wafunga magoli ya mkono" na Serikali....au utoe ushahidi huo hapa kuwa mimi ni TISS...Msanii usijiondoe ufahamu, na ninajua unaelewa miongozo ya humu jamvini!Kuisaidia CCM kunyakua madaraka kiharamu kupitia sanduku la Kura kusiwape vichwa kwamba nchi mmeikamata na mnaweza kufanya lolote.
Unachanganya mambo badala ya kukaa kwenye hoja nilizoibua.....usichanganye mambo na porojo!Upuuzi uliopelekwa Bungeni kama muswada ni kuvuja kwa picha kubwa dhidi ya nchi. Mlianza kutoa kinga kwa Spika wa Bunge ili naye awe juu ya sheria kama alivyo rais na sasa mmeshaonja nyama ya binadamu mnanogewa na itafika mahala hata mgambo nao watawekewa kinga ya kutoshtakiwa.
??Neno JINAI ni dhidi ya jamhuri hata kama jinai imefanywa na mtu wa jamhuri. Huwezi kuweka watu kwenye viroba na kuwafungia mawe na kuwatosa baharini kisha ujisanue kuwa una kinga dhidi ya jinai.
Peleka hiyo mifumo Mahakamani, zaidi ya hapo, narudia, ni Upotoshaji. (Mnayoimarisha) mimi na nani sasa?Hii mifumo mnayoiimarisha ni maandalizi ya mwiba utakaokuja kuwachoma.
What are you implying? Unataka kuaminisha nini hapa umeng'ang'ania kutisha raia kwani TISS sio Raia? wacha hizo MsaniiUache kuwatisha raia maana sote tunajua kuwa TISS inafanyakazi kwa amri na miongozo ambayo kila siku inakiukwa.
??Siku haipo mbali mtakuja kunikumbuka maana wanaowatumia wameshaanza kugeukana
Wabongo mkuu!!!Kwamba watu kutobolewa macho uraiani huoni? Unafikiri watu wa aina hio wakiungana nchi nzima ku protest haiwezekani wakawakalisha hao ma askar unaowaona miungu watu? 😀
Haiko mkinga, niite majina yote lakini nilichokisema ndicho na ni hakika.Wacha Uharakati wako Uchwara hapo. Ati nawatisha Raia...sasa unanitaarifu au unataka kuaminisha Jamvi nini hapo?
Nafikiri hayo uyaelekeze kwa "Wafunga magoli ya mkono" na Serikali....au utoe ushahidi huo hapa kuwa mimi ni TISS...Msanii usijiondoe ufahamu, na ninajua unaelewa miongozo ya humu jamvini!
Unachanganya mambo badala ya kukaa kwenye hoja nilizoibua.....usichanganye mambo na porojo!
??
Peleka hiyo mifumo Mahakamani, zaidi ya hapo, narudia, ni Upotoshaji. (Mnayoimarisha) mimi na nani sasa?
What are you implying? Unataka kuaminisha nini hapa umeng'ang'ania kutisha raia kwani TISS sio Raia? wacha hizo Msanii
??