Serikali hili nalo nadhani kwenye Katiba mpya liwekwe

Serikali hili nalo nadhani kwenye Katiba mpya liwekwe

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Kwenye katiba ijayo hebu huku kwenye serikali za mitaa,vijiji na vitongoji katiba iwe inaruhusu wagombea binafsi

Kwasababu kuna watu wanakua wanakubalika na wanafaa kua viongozi ila kwakua nilazima mgombea atokee chama cha siasa unajikuta unaamua kujiunga na chama cha siasa ...

Na ukifika huko sasa doooh kama hujakitumikia chama kwamda fulani hupati nafasi ya kuamgombea ,kura zandani ya chama zinakuangusha nahasa ukiwa huna hela.Kama tunahitaji viongozi wenye weredi na mori kuna namna ya kurekebisha mifumo hii...

Sent from my infinix x650b using jamiiforums mobile app
 
Back
Top Bottom