Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Habari za ndani sana kutoka serikalini zinasema wakati wowote kuanzia sasa serikali huenda itatoa tamko la kupiga marufuku shamrashamra za sikukuu ya Pasaka, maadhimisho ya sikukuu ya muungano na sherehe za Mei mosi kufuatia shinikizo la ushauri wa wataalamu wa afya katika kukabiliana na kuenea kwa ugonjwa wa Corona nchini.