Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Malipo ya buku 7 yamerejea..Chadema watasema tumekataza dini
malimbikizo ya elfu saba naona yametikiBAVICHA watapinga hili
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Hautakishuhudia.Tuendelee tu kujivuta katika kuchukua hatua tutapata tunachokitaka.
Hawakawii hao. Na wakiacha ziendelee hakawii kulaumu! Hovyo kabisa!Chadema watasema tumekataza dini
Punguza matumizi ya shishi na bangiChadema watasema tumekataza dini
Maulid na Eid je?Hizo sherehe za pasaka / ninjia yakupata sadaka za bure.