Pekejeng
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 808
- 2,155
Kwa mtazamo wangu haya mambo yakuleta ufafanuzi baada ya kuibuka mijadala ambayo serikali inaona ni upotoshaji, Huwa inaleta sana ukakasi na sitomfahamu nyingi kwa wananchi
kwanini wasiwe na utaratibu wakutupa taarifa yakila mikataba/mikopo mapema na kwa uwazi zaidi.
Isiwe inakaa kimya mpaka waibuke watu au taasisi ambazo ndiyo wanaokuwa wa kwanza kuongelea hiyo mikataba, Inafikia hatua taarifa zinasambaa Kila mahali, Mwisho kabisa serikali ndo inaibuka kutolea ufafanuzi
Hiyo haijakaa vizuri zama tulizopo habari mbaya Huwa zinasambaa haraka kuliko nzuri inabidi Serikali idara ya habari iwe inajipanga kwenye hilo.
Pia soma
- VoA watolea ufafanuzi taarifa ya Masharti ya Mkopo wa Korea Kusini kwa Tanzania