Serikali iache kuonea watumishi wa umma

Serikali iache kuonea watumishi wa umma

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
• Mishahara kidogo
• Kuna Taasisi posho zao halali za nauli na Uhamisho zinalipwa kwa mbinde .
• Sasa mmeleta PEPMIS ambayo watumishi wanapaswa kujaza kila wiki.
• Kikokotoo kandamizi kimetupwa kwa watumishi.
• Idadi ndogo ya watumishi inaathiri watumishi waliopo makazini maana mtumishi mmoja anafanya majukumu ya watumishi 2-3 kwa malipo yaleyale.

Hii mizigo mnayomtwika mtumishi wa umma matunda yake mtayapata soon.
 
Back
Top Bottom