ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
100% maana hata kile kidogo kilichopo pale kinazidi kua 'overloaded'Kwani huwezi sambaza kitu ambacho huna
Hopeless pointSasa ni wakati wa kuachana na kusambaza umeme vijijini Ili fedha hizo zitumike kujenga vyanzo vya umeme kwani huwezi sambaza kitu ambacho huna.
Hii italeta tija, sio kepeleka feza za kuwasha taa na mgao huu