Serikali iangalie hii changamoto ya Mfumo wa ESS, kuhusiana na Uhamisho

Mliogwa

Member
Joined
Jun 6, 2024
Posts
37
Reaction score
37
Serikali iangalie hii changamoto ya Mfumo wa ESS, umekuja kurahisisha ila kuna Watendaji bado wanazingua

-Serikali ilikuja na huo Mfumo kurahisisha mambo mbalimbali yanayohusu Watumishi wa Umma.

-Lengo lao ni kupunguza ugumu wa Watumishi kufuatilia mambo yao Manually kwa kufunga safari kwenda Ofisi za Utumishi hususani maswala ya UHAMISHO.

-Lakini bado kuna changamoto kwa Watumishi kufanyiwa kazi maombi yao kupitia Mfumo unakuta mtu ana Ombi tangu last year 2023 mpaka Sasa 2024.

Yaani wadau wanaenda mbali na kusema bora ingekuwa vilevile mtu afunge safari tu akajua kama ni black or White.

Na mbaya zaidi Hawarespond simu wala email, na ukienda wanakwambia Mfumo si upo? Utajibiwa huko.

Sasa mfano kwenye Swala la kuomba UHAMISHO uwezi fanikiwa kufanya ombi zaidi ya moja mpaka Ombi la Mwanzo liwe tayari limeshafanikiwa kwa kukubaliwa au kukataliwa ndio uweze kufanya ombi lingine.

Cha msingi ni kwamba Taarifa ambazo nyingi zipo Utumishi hazijafanyiwa kazi bado Status zinasoma Utumishi.

Pia soma:
~
Tapeli anapigia Watumishi wa Umma na kuwaambia Taarifa zao Binafsi, anazitoa wapi? Mfumo wa ESS upo salama kweli?
~ Mamlaka zishughulikie changamoto za Mfumo wa ESS kwa Watumishi
 
Hakuna watu wanadharau kama watumishi wa halmashaurii yaani aseh
 
Serikali iangalie hii changamoto ya Mfumo wa ESS, umekuja kurahisisha ila kuna Watendaji bado wanazingua

-Serikali ilikuja na huo Mfumo kurahisisha mambo mbalimbali yanayohusu Watumishi wa Umma.

-Lengo lao ni kupunguza ugumu wa Watumishi kufuatilia mambo yao Manually kwa kufunga safari kwenda Ofisi za Utumishi hususani maswala ya UHAMISHO.

-Lakini bado kuna changamoto kwa Watumishi kufanyiwa kazi maombi yao kupitia Mfumo unakuta mtu ana Ombi tangu last year 2023 mpaka Sasa 2024.

Yaani wadau wanaenda mbali na kusema bora ingekuwa vilevile mtu afunge safari tu akajua kama ni black or White.

Na mbaya zaidi Hawarespond simu wala email, na ukienda wanakwambia Mfumo si upo? Utajibiwa huko.

Sasa mfano kwenye Swala la kuomba UHAMISHO uwezi fanikiwa kufanya ombi zaidi ya moja mpaka Ombi la Mwanzo liwe tayari limeshafanikiwa kwa kukubaliwa au kukataliwa ndio uweze kufanya ombi lingine.

Cha msingi ni kwamba Taarifa ambazo nyingi zipo Utumishi hazijafanyiwa kazi bado Status zinasoma Utumishi.
Utumishi usitegemee wakuhamishe,wale jamaa warasimu balaa,huu mfumo umekuja kukandamiza watumishi
 
Back
Top Bottom