Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MBUNGE FESTO SANGA - SERIKALI IANGALIE MASLAHI WATUMISHI SEKTA YA AFYA
Mbunge wa Jimbo la Makete, Festo Sanga aomba Wizara ya Afya kuangalia maslahi ya watumishi sekta ya Afya, wanafanya kazi ngumu na katika mazingira ambayo wengi wetu hatuwezi. Wanapigania Uhai wetu, maslahi yao yaangaliwe vizuri.
Festo ameyazungumza hayo Bungeni Dodoma wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Afya.