heavenlight M
New Member
- Nov 6, 2023
- 1
- 2
Hata walio na ugonjwa la kisukali nasikiamsiuze mechi, ARV zinatafuna figo
Karne hii sio kila kitu ni cha kuuliza. Tumia Google tu ndugu yangu....Nini chanzo cha ugonjwa wa figo ?..tupeni elimu ndugu.
Aisee!, tusingekuwa tunaenda Hosp mkuu, una gugo dariri unajitibu...JF forums kubwa iliyojaa wataalam wa kila aina.Karne hii sio kila kitu ni cha kuuliza. Tumia Google tu ndugu yangu....
Hospitalini tunaenda kutafuta matibabu. Lakini kujua chanzo cha ugonjwa ni juhudi zako binafsi. Hivi kweli unaweza kuuliza chanzo cha ugonjwa wa Malaria, Kipindupindu, HIV?Aisee!, tusingekuwa tunaenda Hosp mkuu, una gugo dariri unajitibu...JF forums kubwa iliyojaa wataalam wa kila aina.