Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Kuna vifaa vya kuhifadhia maziwa ya mama pindi anapokuwa mbali na mtoto na mtoto akatumia kwa muda ambao hayupo na mama. Unayahifadhi kwenye jokofu kwa ajili ya mtoto awapo mbali na mama.
Nashkuru mwanangu yupo na mama yake
12 months itapendeza zaidi.Malezi ya mtoto mchanga yanahitaji uangalizi mkubwa sana wa mama yake! Nashangaa serikali mnasisitiza mtoto asipewe maji wala uji ndani ya miez 6! yaani awe anashindia maziwa ya mama tu!
Nyinyi hao hao serikali mnawapa wafanyakaz wenu miez 3 tu ya materninty hamuoni tatizo kwa watoto kuwa badae wanakuwa na mapungufu mengi kwa kukosa malezi?
Miezi 3 maana yake mtoto aanze kupewa uji ili kukidhi mahitaji maana mama yake anakuwa kazini! mnalazmisha watoto kukomaza utumbo mapema.
Ni wakati sasa sera zibadilike kunyonyesha ni miez sita na leave iwe miez 6, tulinde vizazi vyetu ili baadae wawe watoto bora wala sio bora watoto!
Kuna jinsi ya kuviweka katika hali ya usafi visipatwe na hayo unayoyasema na vinakuwa salama kabisa.Vifaa magonjwa bakteria kibao! mama anapotea masaa 6 anapita kuvuja tu maziwa kazini huko!
Kwa hali ya Wafanyakazi wengi wa Hii Tanzania unazani wana access sana na hilo?Kuna jinsi ya kuviweka katika hali ya usafi visipatwe na hayo unayoyasema na vinakuwa salama kabisa.
Kama unasema wapewe likizo ya mwaka ina maana hakutakuwa na hiyo likizo ya miezi mitatu, kama mtu atajifungua tena kabla ya huo muda apewe tena mwaka mzima wa kupumzika kitakuwa na ofisi hapo ndugu...?Kwa hali ya Wafanyakazi wengi wa Hii Tanzania unazani wana access sana na hilo?
Labda serikali ijenge sehemu za maternity kila ofisi, kitu ambacho ni kigumu .
Wapewe mwaka kabisa ,ila atleast mtu azae tena baada ya miaka mitatu toka amalize likizo ya uzazi...akiwai zaidi ya hapo ,akomae mwenyewe baada ya likizo fupi ya miezi mitatu.
Kwanza covid imetufundisha kuwa kufanyia kazi toka home inawezekana kwa kazi kadha wa kadha.
Serikali pia iangalie, kama mzazi akipewa muda mrefu wa "maternity leave" basi alazimike kukaa muda mrefu bila ya kujifungua mtoto mwingine.Malezi ya mtoto mchanga yanahitaji uangalizi mkubwa sana wa mama yake! Nashangaa serikali mnasisitiza mtoto asipewe maji wala uji ndani ya miez 6! yaani awe anashindia maziwa ya mama tu!
Nyinyi hao hao serikali mnawapa wafanyakaz wenu miez 3 tu ya materninty hamuoni tatizo kwa watoto kuwa badae wanakuwa na mapungufu mengi kwa kukosa malezi?
Miezi 3 maana yake mtoto aanze kupewa uji ili kukidhi mahitaji maana mama yake anakuwa kazini! mnalazmisha watoto kukomaza utumbo mapema.
Ni wakati sasa sera zibadilike kunyonyesha ni miez sita na leave iwe miez 6, tulinde vizazi vyetu ili baadae wawe watoto bora wala sio bora watoto!
Kwa kawaida Maternity leave ni kila baada ya miaka 2 ya uzazi ukizaa ten kabla ya miaka 2 ya kujifungua unapata maternity leave ya mwezi 1 tu badala ya miezi 3 .Serikali pia iangalie, kama mzazi akipewa muda mrefu wa "maternity leave" basi alazimike kukaa muda mrefu bila ya kujifungua mtoto mwingine.
Mathalani, mzazi amejifungua mtoto wake mwezi Januari mwaka 2025, endapo atapewa mapumziko ya malezi ya kichanga kwa miezi 6, basi itampasa kuja kuzaa tena mtoto mwingine mwaka 2030.
Wale wanao totoa kila mara kama kuku, basi itakula kwao. Ni gharama kubwa kwa taasisi ama kampuni kuwa na mtumishi anaye jifungua mara kwa mara, na katika vipindi vifupi vifupi, na kutokana na upotevu wa muda mrefu uliotengwa kwa ajili ya malezi ya mtoto ama watoto wake.