Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Wale sio wataalam mkuu, huwezi kulinganisha Prof wa Mathematics au Prof wa Geology na hao wakina Msukuma mkuu. Tuache utani kabisa.Kwa Mujibu wa Suwboofer Lusinde na Msukuma maarufu kama std 7b wapo smart na ni wataalamu kushinda wakina prof. Ndalichako na prof. Muhongo!. Hapa ndio tunaanza kuziona hasara za kuwapa madaraka makubwa ya kiwango cha Uspika watu wenye CPA za Milembe
Ngoja waje na maneno yao, watakuambia hao waliosoma hata kujiajiri hawawezi, badala ya kuchangia kiuweledi wataleta chuki zao dhidi ya waliosoma, we ngoja uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Habari za leo ndugu zangu,
Uzi wangu leo utakua mfupi sana.
Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada.
Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma.
Wanaogombea uenyekiti wa vijiji walau wawe na cheti cha form four.
Ndugu zangu ni ushauri tu.
Ninyi mnaonaje wakuu.
ni Bora waje tu ndio tumesha chomoa betri tayari.Ngoja waje na maneno yao, watakuambia hao waliosoma hata kujiajiri hawawezi, badala ya kuchangia kiuweledi wataleta chuki zao dhidi ya waliosoma, we ngoja uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za leo ndugu zangu,
Uzi wangu leo utakua mfupi sana.
Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada.
Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma.
Wanaogombea uenyekiti wa vijiji walau wawe na cheti cha form four.
Ndugu zangu ni ushauri tu.
Ninyi mnaonaje wakuu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Katiba mpya mzee.
Ila kusoma sijui chuo na kuwa na certificate sijui diploma sijui degree sidhani kama ni sifa zinazomfanya mtu kuwa na hoja za maana, maana tunaona wasomi wengi wenye PhD ndio wasomi uchwara.
Refer Prof Machokodo.
Kwani hiyo ni kazi ya serikali?Asalaaam aleykum
Eid Mubaraaaaak !!
Naona kwa sasa nchi ina wasomi wengi mnooo.naona ni vyema au sio vibaya kama sifa za kugombea ubunge zikapitiwa upya hasa kipenhele cha ELIMU walau itamke elimu ya kiwango kuanzia Certificate ya chuo.
sio kwamba wale graduate wa standard 7 watakuwa wame nyanyapaliwa lahasha bali hii itatoa motosha kwa vijana kusoma walau ngazi ya cheti.
Bunge lipitie iyo sheriaKwani hiyo ni kazi ya serikali?
Mkuu hapo nakupingwa kwa sababu unao ona darasa la saba wanaweza kua na hoja zaidi ya hao wenye vyeti.Asalaaam aleykum
Eid Mubaraaaaak !!
Naona kwa sasa nchi ina wasomi wengi mnooo.naona ni vyema au sio vibaya kama sifa za kugombea ubunge zikapitiwa upya hasa kipenhele cha ELIMU walau itamke elimu ya kiwango kuanzia Certificate ya chuo.
sio kwamba wale graduate wa standard 7 watakuwa wame nyanyapaliwa lahasha bali hii itatoa motosha kwa vijana kusoma walau ngazi ya cheti.
Msukuma ndio yule alimnanga DED kanunua gari ya mil 400 alafu matokeo yaake yalikuwaje ?Mkuu hapo nakupingwa kwa sababu unao ona darasa la saba wanaweza kua na hoja zaidi ya hao wenye vyeti.
Mfano angalia hoja za Musukuma na Ndugai harafu leta point.
Nitoshe kusema hivyo maana nikiendelea ni shida tupu niwaachie na wengine nafasiMsukuma ndio yule alimnanga DED kanunua gari ya mil 400 alafu matokeo yaake yalikuwaje ?
Graduate wa darasa la saba inatosha sasa wamelisaidia taifa vya kutosha,
Kwa karne hii ya 21 ni aibuuu kuwa na mwakilishi wa elimu ya darasa la saba
Kabisaa yaan wata wapotosha hata vizazi vijavyo maana wata amini elimu sio kitu ...imagine darasa la saba una disrespect professor wa elimu ..Kweli maana Sasa professor anachekwa na STD 4 Jah people, kibajaji nk kisa wao wabunge wanamzidi maslahi na hawaoni umuhumu wa kusoma.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app