DodomaTZ
Member
- May 20, 2022
- 84
- 118
Wanaosoma au waliohitimu Open University of Tanzania (OUT) pale makao makuu Kinondoni hasa Mass Communication na wale wa Journalism, wawe makini, kuna mwalimu ambaye jina lake la kwanza na la pili yanaanza na Yusuph M, nasisitiza wawe makini na huyo jamaa.
Umri wake bado mdogo lakini ana michezo flani ambayo siyo mizuri, mwambieni ipo siku yake kitamkuta kitu, Serikali ipo na inamtazama anachokifanya dhidi ya wanafunzi hasa anaowasimamia katika somo la Research
Mimi nimemaliza OUT na nilihitimu mwaka jana, alichonifanyia Mungu anamuona na hata Walimu wenzake wanajua michezo yake. Wale waliosoma au wanaosoma OPEN naamini watakuwa wameelewa ninachomaanisha.
Wito wangu Serikali iangalie kwa jicho la tatu kinachoendelea pale OUT hasa kwa walimu wanaosimamia masomo ya utafiti, siyo wote ila naamini kama huyo Y….M hawezi kufanya anayoyafanya peke yake, lazima atakuwa na washirika