Serikali ianze kupunguza Mishahara ya viongozi wao, Wabunge, Baada ya USAID , Ulaya inafuata njia hiyohiyo

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Wazalendo wa Nchi hii Akina Job Ndugai waliwah kuuliza kwanini Tusijitegemee?

Sasa Nchi hii Ina Kila kitu, hizo PhD za Uchumi, msizihamishie kulinda Matumbo yenu tu huku mzigo wote mkiuleta Kwa Wananchi.

Mkatae ukweli, mrukeruke sana, mfumbe macho, ukweli ni kuà Hamna Nchi zaidi ya ( US) ilokua inasaidia Afrika na mataifa mengi Duniani.

Kwa tukio la USAID , maana yake Kuanzia Elimu, Afya , Ajira , Maendeleo ya Jamii, n.k huko kote kunaenda kuguswa .

Katika wakati Huu, Hiyo MISHAHARA na MARUPURUPU yenu ambayo mnalipana kufikia mamilioni karibu 50 Kwa mwezi, muichungulie upyaa na kuipunguza na kupunguza matumizi ya Serikali .

Hii Nchi ni Masikini , Raia wake ni Masikini huko kujibana na kufunga mkanda kuanze kwenu !!.

Haingiii Akilini tuna Mabalozi lukuki lakini Mtu anasafiri na wasaniii zaidi ya 100 , na watu wake zaidi ya 50 Kwa kusanyo la Fedha za Wananchi Masikini .
 
Naishauri serikali itenge 10% ya bajeti ya serikali iwe ni kwaajili ya kuwalipa viongozi wa serikali ikiwemo na expenses zao za magari na wafanyakazi wao. Pia turudi kwenye agenda za viwanda ambazo Magufuli alikuwa anazipigia debe.
 
Back
Top Bottom