Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Ukweli kwa sasa, dini hasa makanisa imekuwa kama chambo Cha kupiga fedha za watu, kibaya zaidi sasa hasa wanaojiita manabii wengine wanatoka hata nje kuja kupiga pesa kwa kulaghai raia na kujitwalia utajiri mkubwa na pesa nyingi ambazo hazilipiwi Kodi. Ni vyema tubadilike tuanze kufanya makadirio ya mapato ya makanisa. Bunge litunge muswada wa SHERIA kuhusu hili swala.