Serikali tunawashauri mapema.
Msije kusema hamkushauriwa kwenye upande wa matumizi ya fedha za wananchi bila mpango mzuri.
Kwanza futa post za wakuu wa wilaya na majukumu ya uenyekiti wa ulinzi na usalama atachukua DSO,
Futa post za wakuu wa mikoa na majukumu ya uenyekiti wa ulinzi na usalama atachukua RSO huku yale majukumu ya kiutendaji wilayani atayachukua DED,.
Futeni marupurupu ya wake na wenza wa viongozi muishi kawaida haiwezekani mabilioni yapoteee eti ni marupurupu ya wenza wa viongozi siku wananchi wakiwadai pesa yao mtajibu nini?
Manunuzi ya magari ya kifahari wananchi huku wanasema mnawaona wao ni wajinga kila mwaka mnaahidi hamtekelezi angalieni hilo na muhakikishe mnatimiza wajibu wenu.
Magari ya Serikali yaanze kutumia gesi badala ya mafuta hapa mtaokoa mabilioni mengi na kupeleka pesa hizo kwenye maendeleo.
Kila mkoa uwe na mbunge mmoja wa mkoa mzima, na kila wilaya iwe na mbunge mmoja wa wilaya husika ambaye atabeba hoja za wilaya yake, futeni viti maalumu, ibakie Kwa walemavu tu hivo viti maalumu vingine mnafuja pesa za wananchi bure na havina tija Kwa dunia ya sasa.