MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
- Thread starter
-
- #21
Nami nikuulize kwan alie kufundisha chemistry au whatever alifundishwa na nani? Unijibu apo nam nikujibuKwani hao unaowataka watoe elimu ya mapenzi nao watakuwa wamefundishwa na Nani?
Ukinijibu hilo swali hapo juu ndo tutaendelea na mjadala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani atamfundisha mwenzake maana huyo mwalimu wa mapenzi na mahusiano naye yanamtesa
Aisee aibu kweli, kan mkuu iyo iliwekwa Ina shida ipi??? Aisee so sad watu wanapata tabu mtaani, ni Wakati sahihi tuwe na mitaala inayogusa maisha moja kwa mojasema Mental health ndo iingizwe kwenye mfumo wa elimu
Vijana Wana angamia mkuuHii mada umeikomalia sana bosi
Vitendo si practical na experiment, umeambiwa hazipo izo mkuu???Yaani baada ya kuanzishwa mtaala wa mafunzo kwa vitendo kuhusu sayansi na Teknolojia, unashauri Somo la mapenzi?
Somo la mapenzi ni jukumu la mzazi.
Yaani we jamaa ni mpuuuziHabari za usiku Wana Jf hope wote ni wazima poleni na majukumu ya kujitafutia riziki,
Niende kwenye lengo la Uzi,
Napenda kushauri serikali yangu na wadau mbalimbali kuwa ni Wakati sasa sahihi kuanzishwe na somo la mahusiano na mapenzi katika mfumo wetu wa elimu, kuanzia level ya primary hadi vyuo vikuu, tena somo hili litiwe mkazo mkubwa sana na liwe somo la lazima.
Kwanini nasema hivi Wana jukwaa
Kwasasa Jamii ya TANZANIA inapita katika mkwamo mkubwa katika eneo hili la mapenzi na mahusiano, vijana wengi walio opo vyuo vikuu wanasumbuliwa na mapenzi, wafanyakazi maofisin kuanzia walimu, madaktari na kadharika wanakubwa na mateso makubwa katika eneo la mahusiano na mapenzi, wenye ndoa na wasio na ndoa Yan kiufup hili suala limekuwa ni janga,
Afya za vijana Wengi sana hasa afya akili zinadhoofika Kila siku moja ya chanzo ni mahusiano na mapenzi, vijana Wana ingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya wengine pombe, wengine wanaacha masomo, wengine wanafikia hatua ya kuuaana, moja ya SABABU ni mapenzi.
Ombi langu serikali itazame hili suala kwa upana mkubwa ili tuokoea taifa letu na vijana wetu katika janga Hili,
Na silaha kubwa ni kuanzishwe somo la mapenzi na mahusiano kwan mapenzi na mahusiano yanagusa sehemu kubwa sana na ni topic ndefu mno. Vijana wajua how to handle heart break na vitu kama hivyo.
Samahani wakuu mm sio mzuri kwenye uandishi mtanisamehe,
Ni Mimi mwalimu mtarajiwa
@ mwalimu daima
Malofa sana hawaHivi kwa mindset kama hii kwa nini mpwayungu village asiwakosoe,
Kuna vipaumbele vingapi ambavyo vingeweza kutoa taifa sehemu moja kwenda nyingine. Aisee! Ndio nyie mnaotuharibia vijana wetu sio bure!!
Na hivi ni kwanini muafrika akili yako imelala kwenye mapenzi sana kuliko kitu kingine chochote. Kwa taarifa yako ukiona mtu mweupe kitu chochote hakipi kipaumbele basi ni bora uachane nacho maana alishakifikiria na akaona hakina faida.
Halafu na wewe unajiita msomi humu JF kweli?
This nonsense ondoa haraka sana broh!
Haya makurumbembe mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]mpwayungu village pita uone tulipofikia