Hamisi Twanje
New Member
- Aug 26, 2022
- 2
- 0
Ndugu wana jukwaa natumai mna afya njema. Naomba nami ni changie kwenye hili jukwaa la story of change 2022.
Ndugu wanajukwaa, Tanzania kama ilivyo nchi nyingine, vijana wengi wamechangamkia elimu kama sehemu pekee inayoweza kuwasaidia kutimiza ndoto zao za kuishi maisha bora hapo badae. Inakadiliwa kuwa kila mwaka wanafunzi takribani laki moja wanamaliza vyuo vikuuu na vyuo vya kati, lakini kati ya hao asilimia 99% hawana pa kwenda. Mwishowe hudharaulika sana mitaani.
Hatua zifuatazo zaweza leta tija kwa wasomi wetu.
KIUCHUMI,
Serikali itoe mikopo kwa vijana wa elimu ya juu na kati kupitia bodi ya mikopo kuwawezesha kujiajiri na kuajiri wengine. Serikali ibuni chanzo cha mapato kwajiili ya kundi hilo. Mikopo ya halimashauri ina mizunguko mingi na haina tija kwa mukutadha huu.
KIUTAWALA
Wasomi nao liwe kundi maalumu na lipate muwakilishi bungeni wa kulisemea kwenye matatizo na changamoto. Bungeni kuna mwakilishi wa vyuo na vyuo vikuuu ila hakuna mwakilishi wa wasomi wasio na ajira hivyo kukosa sauti ya bungeni.
KIJAMII
Ili kuendelea kutetea mfumo wetu wa elimu na kutoa motisha kwa vijana wadogo wanao soma, serikali ibuni mbinu mpya. Kama vile uwekezaji kwenya maarifa msingi (social skills) kama ujasiliamari na ufundi.
Mwisho
Serikali isipo chukua hatua stahiki kwa wasomi wetu, itakatisha vijana wanao soma tamaa baadae taifa litakosa wataalamu maana elimu itaonekana si lolote si chochote.

Upvote
0