Serikali ifanye jambo soka la Mbeya

Serikali ifanye jambo soka la Mbeya

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Kwa ajili ya maendeleo ya soka la nchi hii na kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za kukuza soka la nchi hii

Nashawishika kuamini kwamba serikali haitimizi wajibu wake Kwa soka la Mbeya.

Pamoja na ishara zote kuonesha kwamba Mkoa wa Mbeya ndio mkoa namba moja kwa kuwa na wapenzi wengi wa soka lakini hakuna cha maana serikali kuu inafanya.

Inashangaza kuona bado hakuna mipango yoyote ya maana ya kujenga uwanja wa maana ili vichaa wa soka pale Mbeya waone serikali ina jali.

Leo hii Mbeya ni ya kuutegemea uwanja wa Sokoine? Serikali iache mzaha Mbeya wanahitaj Uwanja mkubwa wa kisasa
 
Ihefu ni kiboko cha vigogo, chapa Yanga, Chapa Yanga, sasa inaenda kuibemenda Simba
 
Huo uwanja wenyewe umeuona ulivyo.

Huo uwanja n WA ndondo cup tu.

Maana umeisha service hakuna.

Hata ifehu inawapita kabisa.

CCM ni hovyo sana
 
Halafu ukiachana na dar es salaam Mbeya unabaki kuwa mkoa pekee ambao umekuwa ukiwalishwa na timu nyingi ligi kuu kuliko mikoa mingine (Ihefu, T.prison na Mbeya city)
 
Halafu ukiachana na dar es salaam Mbeya unabaki kuwa mkoa pekee ambao umekuwa ukiwalishwa na timu nyingi ligi kuu kuliko mikoa mingine (Ihefu, T.prison na Mbeya city)
Kombe la ASF robo fainali kuna jumla ya Tim 8 . Kat ya hizo mbili ni kutoka Mbeya
 
Back
Top Bottom