Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
1. Iweke mikakati ya haraka sana ya kuwapa mafunzo ya miaka miwili pindi tu wanapomaliza masomo yao na iwalipe robo tatu ya scale yao ya mishahara.
2. Serikali itoe mikopo ya zana za kilimo, pembejeo na iwagawie vijana maeneo ya kuendesha kilimo kwa mazao ya yote ya chakula na biashara.
3. Serikali iachane kabisa na mtindo wa kulipa posho viongozi wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao walipwe mishahara pekee na pesa zote zielekezwe kwenye kutatua changamoto za vijana.
4. Serikali ihakikishe sekta binafsi zinasimama na zinasaidiwa kuimarika kwani ndiyo roho ya uchumi wa taifa lolote ilipo. Madharani serikali iache mara moja kufungia biashara za watu kwani kufanya hivyo ni kuongeza tatizo la ajira na kuleta matatizo ya uchumi kwa taifa
5. Shule za binafsi ziondolewe Kodi na kuwepo usimamizi mkali wa serikali ili ziweze kutoa elimu Bora na walimu wake wapewe mikataba ya kudumu yenye kufata taratibu za nchi. Malipo yote ya shule hizi yawe sawa na Yale ya serikali ili kulinda ajira za Hawa vijana.
#Job security for social stability