ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Wilaya ya Temeke imekuwa kubwa
Sasa ni muda mwafaka itengwe kama ilivyo Kinondoni ilizaa Ubungo,
Ilala ikazaa Kigamboni,
Sasa kwanini Temeke isitoe Manispaa mpya ya Mbagala ambayo inaweza kuchukua baadhi ya maneno ya Mkuranga kama vile Mwandege, Kisewe na Vikindu
Mbagala imepanuka Kwa kasi mno,
Biashara zinafanyika usiku na mchana, kama Kariakoo tu.
Mbagala inazidi sehemu kama Temeke, Mwenge, Makumbusho, Tegeta n.k
Mbagala ina population kubwa zaidi Dar es Salaam
Mbagala imetelekezwa katika miundo mbinu na huduma za jamii, kwakuwa inameza na Temeke ambayo ni ndogo na imedumaa
Mbagala kuzuri mno ,
Tuanzie Mbagala rangi 3, Mbagara mkuu, sabasaba, Mission, Vikunai, Saku, Chamazi, Dondwe, Charambe, Mzambarauni, Mgeni nani? Mzinga n.k
Mbagala kunapendeza aisee
Tunafurahia Kwa pamoja Manispaa yetu mpya ya Mbagala