Serikali/mamlaka husika ijaribu kufuatilia na kuchunguza uongozi wa chuo cha maendeleo ya wananchi same -kilimanjaro (FDC), hadi sasa baadhi ya wanafunzi waliowahi kumaliza chuoni hapo wanalalamika kukosa vyeti mpaka sasa na hawaoni ufatiliaji wowote ule kutoka kwa uongozi wa chuo hicho.