Tunaiomba Serikali kupitia Wizara husika ijaribu kufatilia chuo hiki kuna kila dalili za kutokuwajibika kwa watumishi wake na kutokutumia madaraka yao vyema, wapo wanafunzi waliowahi kusoma chuoni hapo mwaka 2020-2021 mpaka hivi sasa hawajapatiwa vyeti vyao na wakiuliza hakuna majibu ya kuridhisha mda mingine hata kupewa maneno yasiyofaa.
Je, tunawaandaaje hawa vijana tunaosema ni wa taifa la kesho wakajiajiri na wasingoje kuajiriwa? Au kulikuwa na umuhimu gani kuwapa mafunzo haya na mwisho kuwanyima vyeti? Au kuna utaratibu umebadilika kupata cheti mpaka utoe pesa?
Vyeti ni haki yao.