MubengaJr Senior Member Joined Oct 14, 2022 Posts 151 Reaction score 336 Apr 29, 2024 #1 Naomba kuwapa taarifa kuwa kuna ukuta wa kiwanda cha SIMTANK kilichopo maeneo ya Tabata TIOT kinachopakana na Asas. Ukuta huu huenda ukaanguka muda wowote hivyo msisubiri ukuta huu ulete maafa ndio muanze kumtafuta mchawi.
Naomba kuwapa taarifa kuwa kuna ukuta wa kiwanda cha SIMTANK kilichopo maeneo ya Tabata TIOT kinachopakana na Asas. Ukuta huu huenda ukaanguka muda wowote hivyo msisubiri ukuta huu ulete maafa ndio muanze kumtafuta mchawi.
Uhakiki JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,288 Reaction score 7,704 Apr 29, 2024 #2 MubengaJr said: Naomba kuwapa taarifa kuwa kuna ukuta wa kiwanda cha SIMTANK kilichopo maeneo ya Tabata TIOT kinachopakana na Asas. Ukuta huu huenda ukaanguka muda wowote hivyo msisubiri ukuta huu ulete maafa ndio muanze kumtafuta mchawi. Click to expand... Piga picha tuone hali ilivyo mbaya mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
MubengaJr said: Naomba kuwapa taarifa kuwa kuna ukuta wa kiwanda cha SIMTANK kilichopo maeneo ya Tabata TIOT kinachopakana na Asas. Ukuta huu huenda ukaanguka muda wowote hivyo msisubiri ukuta huu ulete maafa ndio muanze kumtafuta mchawi. Click to expand... Piga picha tuone hali ilivyo mbaya mkuu Sent using Jamii Forums mobile app