Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #21
Kweli mwamba ngoma ngozi huvutia kwake. Mkuu wewe umeona ni vitabu tu, mbona vipo vingi vya kuondolewa VAT. Ila ni gharama kubwa aisee sasa si wengine tutaweza kununua kitabu hicho? hafu ni cha mapenzi...wakati vitabu vya kina Ben Carsons, Robert Kayosaki vinavyozungumzia maisha tunavipata kwa bei ya chini ya 15000tsh. Serikali inabidi iangalie upya hili suala, kitabu cha mapenzi nikanunue ziadi ya tsh40000 khaaaa, hata haikubaliki.
For sure.........haiwezi kuwa ghali kiasi hicho.
Kama Tz wanazingua unaweza kufanya printing China........Simple.
Voice of Wisdom, kwa kawaida malipo yoyote yanayoingizwa kwa kampuni yanakatwa kodi.
Mkjj, usiongelee kodi za malighafi na uchapaji, kuna gharama za serikali kama milioni za kuendesha biashara. Tbs, Osha, GCLA (wino ni sumu), NEMC, manispaa na mtaa just to name a few! How do u think we can afford governmental luxuries?
bado kitakapoingia nchini kitapigwa VAT ya 18%!
sidhan kama hiyo itasaidia..tatizo kusoma sio tradition yetu..
Vitabu vipo exempted as per VAT ACT 1997 R.E 2006 Second Schedule item number 6...gharama za kutengeneza kitabu hazipo exempted the issue ni kwamba jisajili VAT ili kodi unayotozwa wakati wa kutengeneza kitabu(Input Tax) uweze kuwa refunded kwasababu your Output Tax(kodi utakayo toza wakati wa kuuza)ni 0 then utakuwa refunded the whole Input Tax.
Tuweke mambo sawa
ili uruhusiwe ukutoza vat lazima uwe unauza bidha zinazotozwa vat na mauzo yako kwa mwaka yawe zaidi ya 40m.
Hakuna mtu anayeruhusiwa kutoza vat kwenye "exemp supplies" vitabu vikiwemo. Hata kama kuna malighafi zilizotozwa vat wakati wa kutengeneza kitabu inabidi yule mtengenezaji(printing co) ajiandikishe kama "partial exempt" ili mwisho wa mwezi aombe kurudishiwa vat aliyolipa wakatai ananunua malighafi i.e karatasi, wino hata umeme na kodi ya jengo kama ipo,ila kukuchaji wewe vat kwa ajili ya kitabu haruhusiwi.
Ila kwa sababu wafanya biashara wetu ndo hivyo na sisi hatujui utaratibu unakuta unachajiwa vat kama mteja na bado wanaenda kuidai serikali vat waliyolipa wakata wananunua maligafi za kutengenezea vitabu.
(kwa ufupi hakuna vat kwenye vitabu ama unapochapa au unaponunua )
kweli kabisa watu mnaamini hivyo? isije kuwa hata watoto wetu tunawalea kwa mawazo hayo. Tunaamini kuwa Waafrika ni wazuri katika mambo ya ngoma na sanaa!
Voice of Wisdom, kwa kawaida malipo yoyote yanayoingizwa kwa kampuni yanakatwa kodi.
Mkjj, usiongelee kodi za malighafi na uchapaji, kuna gharama za serikali kama milioni za kuendesha biashara. Tbs, Osha, GCLA (wino ni sumu), NEMC, manispaa na mtaa just to name a few! How do u think we can afford governmental luxuries?
Tuweke mambo sawa
ili uruhusiwe ukutoza vat lazima uwe unauza bidha zinazotozwa vat na mauzo yako kwa mwaka yawe zaidi ya 40m.
Hakuna mtu anayeruhusiwa kutoza vat kwenye "exemp supplies" vitabu vikiwemo. Hata kama kuna malighafi zilizotozwa vat wakati wa kutengeneza kitabu inabidi yule mtengenezaji(printing co) ajiandikishe kama "partial exempt" ili mwisho wa mwezi aombe kurudishiwa vat aliyolipa wakatai ananunua malighafi i.e karatasi, wino hata umeme na kodi ya jengo kama ipo,ila kukuchaji wewe vat kwa ajili ya kitabu haruhusiwi.
Ila kwa sababu wafanya biashara wetu ndo hivyo na sisi hatujui utaratibu unakuta unachajiwa vat kama mteja na bado wanaenda kuidai serikali vat waliyolipa wakata wananunua maligafi za kutengenezea vitabu.
(kwa ufupi hakuna vat kwenye vitabu ama unapochapa au unaponunua )
Naomba nisahihishe hili..
Gharama za uchapishaji wa Vitabu haipo exempted kwa mujibu wa sheria ya VAT 1997 R.E 2006 kinachoweza kufanyika ni ile input tax(VAT) inayotokana na gharama za kuchapisha kitabu inakuwa part of cost ya kutengeneza vitabu hivyo Mzee Mwanakijiji kama wewe ni mfanyabiashara wa vitabu na unatambulika na Mamlaka husika unaiweka ile input tax as part of cost na utaionesha kwenye financial statement(statement of comprehensive income )kama expense when arriving at profit or loss..Basis trader yoyote anayedeal na exempted supplies only input tax anayochajiwa ina form as part of expense in financial statements.

Biashara ni shughuli yeyote ya kununua au kuuza au kujishughulisha na shughuli yoyote kwa lengo la kupata au kutengeneza faida kama una lengo la kutengeneza faida basi wewe si mfanyabiashara then ile kodi uliyotozwa wakati wa kutengeneza kitabu itaform part ya gharama zako when calculating selling price ya hicho kitabu to arrive at zero profit since huna lengo la faida.lakini kama una lengo la faida then wewe ni mfanyabiashara hivyo utafuata yale ya hapo juu kuhusu financial statements..kwa upande wa mchapishaji yeye kwake ni output tax(kodi aliyotoza katika mauzo yake)then atafananisha na input tax(ile aliyotozwa katika kupata material kwa ajili ya shughuli yake ya uchapaji)then either atalipa the difference if output tax>Input tax au ataomba refund if input tax>output tax kwa mwezi husika wa biashara...publishing is not exempted fro VAT...nadhani hapa tunapotezana kidogo; mimi sijioni kama mfanyabiashara wa vitabu; ni mtunzi tu. Lakini pia kuna element za biashara vile ville kwani nataka kupublish kitau mimi mwenyewe. Ninapolipa VAT kwa printer (as a publisher) hilo suala la kuwa exempted lipo au halipo? Mwisho wa siku imi na printer nani ataweza kuclaim ili kuwa refunded?